Sitakuja kumsahau huyu nesi!

Umenikumbusha maneno ya Kiganda.... Jankukuba, silika utambule, kasoli, mpa amanzi, janguu,tugende tukole.Hawa jamaa mila zao zinafanana na za Wanyarwanda.
 
Kaale ssebo,mtwalo,ugamba chi,suula murunji,watsiziota,[emoji23] [emoji23]
 
Niliwahi kamatwa na polisi nikasema sijui sheria za huko ssb mi ni M-Tz nilikaniponza neno moja niliposema munikwatila chi? askari wakasema mi si M-tz nikalala sero ya pale Nelson Mandela Stadium
 
Hahaha pole ulisema mmenikamatia nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…