Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AsanteHbd yake!
Kaale ssebo,mtwalo,ugamba chi,suula murunji,watsiziota,[emoji23] [emoji23]Umenikumbusha maneno ya Kiganda.... Jankukuba, silika utambule, kasoli, mpa amanzi, janguu,tugende tukole.Hawa jamaa mila zao zinafanana na za Wanyarwanda.
Niliwahi kamatwa na polisi nikasema sijui sheria za huko ssb mi ni M-Tz nilikaniponza neno moja niliposema munikwatila chi? askari wakasema mi si M-tz nikalala sero ya pale Nelson Mandela StadiumKaale ssebo,mtwalo,ugamba chi,suula murunji,watsiziota,[emoji23] [emoji23]
nipe angalao picha moja halafu mimi nitakupa zawadi ya mdogo wangu joanah!Picha ninazo kama ishirini za mademu Wa jf wenye vyura balaa!
Hahaha pole ulisema mmenikamatia niniNiliwahi kamatwa na polisi nikasema sijui sheria za huko ssb mi ni M-Tz nilikaniponza neno moja niliposema munikwatila chi? askari wakasema mi si M-tz nikalala sero ya pale Nelson Mandela Stadium
Mkuu upo vizuri ulisoma huko?Hahaha pole ulisema mmenikamatia nini
....Kwa game la kushtukiza hivyo ulivaa ndomu kweli? Maana kale kaugonjwa kalianzia huko..Kawaida mkuu nimeshakula hadi ya nun!
...Duh next time usijaribu sumu kwa kuionja mkuu, assume angekuwa nao mngeondoka wootee hapo home kwenu.Sukuvaa Na nipo gado!
Hongera kwa kucheza mechi ya kimataifa mchangani ila kama ulinusurika kuumeza mchanga usirudie tena siku nyingine! Utaja jutaTrue story!