Sitakuja kusahau nilivyozama kwenye penzi zito na binti tuliyejuana kupitia JamiiForums mwaka 2013

Sitakuja kusahau nilivyozama kwenye penzi zito na binti tuliyejuana kupitia JamiiForums mwaka 2013

Yamwanangu maana ukifikiria hata kama unapeleka moto 24hrs kuna kitu tu kitakutenganisha so bora upigane kupata pesa na ufalme wa mbinguni
wengi wakifikaga miaka 25 hivi mioyo inakuwa chuma, ndio maana chini ya hapo wengi huwa wanaumizwa sana na mpaenzi ila mapenzi katika umri huwa yakinoga unaweza hisi upo peponi.
 
Kammiss anatengeneza mazingira warudiane mechi za kirafiki tu maana binti nae yupo humu anasoma
Hebu acha kuongea utadhani unajua kitu anachofikiria mtu kichwani, huyo binti saiz kashaolewa na ana familia yake na mimi kwagu nina familia,,,,kiufupi tunaheshimiana mnoo!!
 
Hebu acha kuongea utadhani unajua kitu anachofikiria mtu kichwani, huyo binti saiz kashaolewa na ana familia yake na mimi kwagu nina familia,,,,kiufupi tunaheshimiana mnoo!!

Unachekesha🤣 Familia zinahusika nini na kupeana mzigo?
 
Story ya uongo uongo bikira gani hiyo inatoka kirahisi hivyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]et siku moja na ya pili mkaenjoy mmmmmh hakunaaa
 
Back
Top Bottom