Sitakuja ludia tena huu ujasiri

Sitakuja ludia tena huu ujasiri

Story yako inatufundisha nini?
Inatufundisha tuache kuishi kizamani katika dunia ya sasa.

Karne hii mtu bado anabinjuka boarder kupitia maporini kwenda nchi ya jirani. Huu ni ujinga wa kiwango cha juu mno.
 
Nachojua Simba hua hali watu hovyo hovyo na Tembo wala hana tatizo na watu kama hajachokozwa au hajahisi hatari pia Nyati

Kwa hivyo ulikua salama tu sema mindi yako ilikuaminisha kua unapita katika bonde la uvuli wa mauti na hvyo kukujaza hofu kubwa.

NB: Nimeishi Ngorongoro na Ruaha kwa vipindi tofauti.
Vipi kuhusu Dubu mkuu nao hawana shida ndogo ndogo?
 
Inatufundisha tuache kuishi kizamani katika dunia ya sasa.

Karne hii mtu bado anabinjuka boarder kupitia maporini kwenda nchi ya jirani. Huu ni ujinga wa kiwango cha juu mno.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]...kwakweli.... mtu mzima unaanza tembea porini nchi za watu unatafuta nini
 
Ujasiri ni kupambana na watu sehemu ya rushwa unatoa,sehemu ya kukimbia una kimbia, sehemu ya kupigana unapigana, ila usipigane kifala, sehemu ya kuongea unaongea changanya na uongo,n.k siyo kupambana na mapori utakuja kumkanyaga nyoka mkia.
 
Sababu ya kwenda Msumbiji ilikuwa ni kwa ajili ya nini?
 
Inatufundisha tuache kuishi kizamani katika dunia ya sasa.

Karne hii mtu bado anabinjuka boarder kupitia maporini kwenda nchi ya jirani. Huu ni ujinga wa kiwango cha juu mno.
Nimekwambia ilikuwa kipindi cha corona,Mozambique ni kati ya inchi ambazo zilifunga mipaka yake,yaani hakuna kutoka wala kuingia,

Sasa ilii maisha yaendelea ilitubidi watu kuendelea kusafiri kwa njia tunazoziju
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]...kwakweli.... mtu mzima unaanza tembea porini nchi za watu unatafuta nini
Utafutaji umetofautiana kila mtu ananjia zake,kikubwa mkono uende kinywani
 
Ujasiri ni kupambana na watu sehemu ya rushwa unatoa,sehemu ya kukimbia una kimbia, sehemu ya kupigana unapigana, ila usipigane kifala, sehemu ya kuongea unaongea changanya na uongo,n.k siyo kupambana na mapori utakuja kumkanyaga nyoka mkia.
Kiuhalisia wengine huwa hatutaki tuje kufia nyumbani,Yaani watu wanione naumwa mara nimelazwa mpaka kifo,
Hapana nataka waambiwe tu huyo alikufa mbali na inchi yake,au mwili urudishwe nyumbani kwa heshima zote.

Askari hafii kambini, bali anafia vitani
 
Story kama hii nimewahi kuisoma humu... Labda kama zinafanana
 
hata sijamaliza kusoma nimegundua wewe ni mwoga sana na mwongo sana
1.jasiri hawezi kukoka moto anapambana na baridi = mwoga
2.umeamuka saa 8 usiku , kilometers 20 kuzitembea kwa mguu !!!?? kwa saa 1 = uongo

n.k n.k
Inawezekana amechanganya tu kanake kwa kilomita 20 utembee kwa lisaa labda kama alikuwa anapiga jogging, mie nakumbuka nishatembea umbali wa km 23 hivi nilitumia mwendo wa masaa si chini ya manne japo nilikuwa na tembea kwa mwendo wa kawaida kabisa.
 
Story kama hii nimewahi kuisoma

Inawezekana amechanganya tu kanake kwa kilomita 20 utembee kwa lisaa labda kama alikuwa anapiga jogging, mie nakumbuka nishatembea umbali wa km 23 hivi nilitumia mwendo wa masaa si chini ya manne japo nilikuwa na tembea kwa mwendo wa kawaida kabisa.
Nilitembea masaa 4 na kama na nusu
 
Back
Top Bottom