Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,760
- 20,837
Inatufundisha tuache kuishi kizamani katika dunia ya sasa.Story yako inatufundisha nini?
Vipi kuhusu Dubu mkuu nao hawana shida ndogo ndogo?Nachojua Simba hua hali watu hovyo hovyo na Tembo wala hana tatizo na watu kama hajachokozwa au hajahisi hatari pia Nyati
Kwa hivyo ulikua salama tu sema mindi yako ilikuaminisha kua unapita katika bonde la uvuli wa mauti na hvyo kukujaza hofu kubwa.
NB: Nimeishi Ngorongoro na Ruaha kwa vipindi tofauti.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]...kwakweli.... mtu mzima unaanza tembea porini nchi za watu unatafuta niniInatufundisha tuache kuishi kizamani katika dunia ya sasa.
Karne hii mtu bado anabinjuka boarder kupitia maporini kwenda nchi ya jirani. Huu ni ujinga wa kiwango cha juu mno.
Mbona hiyo simple sana katika utafutaji,Hii stori nishaisikia kwenye kijiwe cha kahawa mwaka 2003, mzee kubali ukatae umekop na kupest haijawahi kukukuta wewe ni mwongo🙌🏻
Ni katika sehemu ya utafutajiSababu ya kwenda Msumbiji ilikuwa ni kwa ajili ya nini?
Nimekwambia ilikuwa kipindi cha corona,Mozambique ni kati ya inchi ambazo zilifunga mipaka yake,yaani hakuna kutoka wala kuingia,Inatufundisha tuache kuishi kizamani katika dunia ya sasa.
Karne hii mtu bado anabinjuka boarder kupitia maporini kwenda nchi ya jirani. Huu ni ujinga wa kiwango cha juu mno.
Utafutaji umetofautiana kila mtu ananjia zake,kikubwa mkono uende kinywani[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]...kwakweli.... mtu mzima unaanza tembea porini nchi za watu unatafuta nini
Kiuhalisia wengine huwa hatutaki tuje kufia nyumbani,Yaani watu wanione naumwa mara nimelazwa mpaka kifo,Ujasiri ni kupambana na watu sehemu ya rushwa unatoa,sehemu ya kukimbia una kimbia, sehemu ya kupigana unapigana, ila usipigane kifala, sehemu ya kuongea unaongea changanya na uongo,n.k siyo kupambana na mapori utakuja kumkanyaga nyoka mkia.
Inawezekana amechanganya tu kanake kwa kilomita 20 utembee kwa lisaa labda kama alikuwa anapiga jogging, mie nakumbuka nishatembea umbali wa km 23 hivi nilitumia mwendo wa masaa si chini ya manne japo nilikuwa na tembea kwa mwendo wa kawaida kabisa.hata sijamaliza kusoma nimegundua wewe ni mwoga sana na mwongo sana
1.jasiri hawezi kukoka moto anapambana na baridi = mwoga
2.umeamuka saa 8 usiku , kilometers 20 kuzitembea kwa mguu !!!?? kwa saa 1 = uongo
n.k n.k
Story kama hii nimewahi kuisoma
Nilitembea masaa 4 na kama na nusuInawezekana amechanganya tu kanake kwa kilomita 20 utembee kwa lisaa labda kama alikuwa anapiga jogging, mie nakumbuka nishatembea umbali wa km 23 hivi nilitumia mwendo wa masaa si chini ya manne japo nilikuwa na tembea kwa mwendo wa kawaida kabisa.