Wadau hope mpo pouwa juzi nilitokea wilaya ya mvomero huko madizini nikiwa na boss wangu na dereva wetu tulitoka huko madizin turiani mida ya saa kumi na mbili jioni lengo likiwa tuje kulala msamvu ili kesho yake tuwahi kuelekea mikumi kikazi basi tulipofika msamvu tukachukua gesti mitaa fulani ya mafisa.
Boss na dereva walipozama ndani mi nikatoroka nikaelekea mitaa fulani kuna bar inaitwa double view nikachukua manzi mmoja kwa makubaliano ya 40,000 per night nikagonga vi castle lite vya kutosha manzi naye anagonga ndovu tulipomaliza nikaamsha naye gest balaa ni asubuhi demu kaniletea shida balaa anadai tulikubaliana 70,000 hii ni baada ya kuona kitita cha noti balaa.
Boss wangu na dereva wananisubiri mimi tuondoke wakasikia mzozo kugonga mlango nikawafungulia wakanikuta na yule demu boss akauliza kwani shida nini manzi akajibu ananidai 30000 boss akafungua wallet akampa jana nimekaa kwenye gari na mawazo kibao sijui kama boss atanipa tena hizi trip za kuelekea mikoa mbalimbali au ndio mwisho wa kibarua changu.