Sitakusahau Morogoro Msamvu

Sitakusahau Morogoro Msamvu

Wadau hope mpo pouwa juzi nilitokea wilaya ya mvomero huko madizini nikiwa na boss wangu na dereva wetu tulitoka huko madizin turiani mida ya saa kumi na mbili jioni lengo likiwa tuje kulala msamvu ili kesho yake tuwahi kuelekea mikumi kikazi basi tulipofika msamvu tukachukua gesti mitaa fulani ya mafisa boss na dereva walipozama ndani mi nikatoroka nikaelekea mitaa fulani kuna bar inaitwa double view nikachukua manzi mmoja kwa makubaliano ya 40000 per night nikagonga vi castle lite vya kutosha manzi naye anagonga ndovu tulipomaliza nikaamsha naye gest balaa ni asubuhi demu kaniletea shida balaa anadai tulikubaliana 70000 hii ni baada ya kuona kitita cha noti balaa boss wangu na dereva wananisubir mim tuondoke wakasikia mzozo kugonga mlango nikawafungulia wakanikuta na yule demu boss akauliza kwan shida nn manzi akajibu ananidai 30000 boss akafungua wallet akampa jana nimekaa kwny gari na mawazo kibao sijui kama boss atanipa tena hizi trip za kuelekea mikoa mbalimbali au ndio mwisho wa kibarua changu.
Ukipanda ubuyu usitarajie kuvuna mpunga,umevuna ulichokipanda na hicho ukale na wa kwenu!
 
UNATOA ELFU 70 KWA MBUNYE ??? AU ILIKUWA NA AC,INFARED NA BLUETOOTH MPAKA UTOE HELA YOTE HIYO
 
Msamvu hakuna bei hiyo..labda useme elfu saba tu(7000)
msamvu nilizunguka hapo chini ya stend pana wanajiuza mpaka buku nne lakni nikaona sio ishu ndio nikaenda double view kama unapajua ni pembeni ya hoteli hiyo cjui inaitwa filomi.
 
Kaa na boss wako muyaongee kiume, hapo anakusubiri asikie la moyoni kutoka kwako!!
Anaweza potezea lkn allowance ndogo ndogo akakupiga chini!!
 
UNATOA ELFU 70 KWA MBUNYE ??? AU ILIKUWA NA AC,INFARED NA BLUETOOTH MPAKA UTOE HELA YOTE HIYO
Makubaliano yetu yalikua 40000 ila asubuhi kanibadilikia na alikua mtata balaa daah boss ndio aka top up.
 
Mshahara wa dhambi ni mauti.
Sio lazima ufe wewe, chaweza kufanya cheo chako, yaweza kufa KAZI yako.
Mikosi na mabalaa humuingia mtu kwa njia ya zinaa ndio maana vitabu vyote vya imani vimetukataza kuisogelea zinaa.
Ukizini na kahaba unakuwa mwili mmoja na kahaba kama kahaba huyo analiwa tigo basi na wewe unaliwa tigo kwenye ulimwengu usioonekana
Kama kahaba analiwa tigo....! Wee jamaa wewe.
 
Acha tu msamvu kwenda mikumi sio parefu sana lakini niliona kama natoka Dar kwenda kahama au kigoma gari ina kiyoyozi lakn kijasho kwa mbali.
Hahahah.... Hiyo 30,000 aliyoongeza ni ya VAT hukujua mkuu?
 
No usijali
Mweleze ukweli kuwa ulikuwa na ugwadu miezi 8. Hujapata kitumbua.
Halafu unapompa mwanamke hela usionyeshe hela zako ungetenga pembeni hiyo arobaini au ungempa kabisa night.
Usipende kuonesha hela hadharani hata kama ni makubaliano.
Mweleze boss ukweli don't worry. Ur a man
 
Back
Top Bottom