Sitakusahau Morogoro Msamvu

Sitakusahau Morogoro Msamvu

Wadau hope mpo pouwa juzi nilitokea wilaya ya mvomero huko madizini nikiwa na boss wangu na dereva wetu tulitoka huko madizin turiani mida ya saa kumi na mbili jioni lengo likiwa tuje kulala msamvu ili kesho yake tuwahi kuelekea mikumi kikazi basi tulipofika msamvu tukachukua gesti mitaa fulani ya mafisa.

Boss na dereva walipozama ndani mi nikatoroka nikaelekea mitaa fulani kuna bar inaitwa double view nikachukua manzi mmoja kwa makubaliano ya 40,000 per night nikagonga vi castle lite vya kutosha manzi naye anagonga ndovu tulipomaliza nikaamsha naye gest balaa ni asubuhi demu kaniletea shida balaa anadai tulikubaliana 70,000 hii ni baada ya kuona kitita cha noti balaa.

Boss wangu na dereva wananisubiri mimi tuondoke wakasikia mzozo kugonga mlango nikawafungulia wakanikuta na yule demu boss akauliza kwani shida nini manzi akajibu ananidai 30000 boss akafungua wallet akampa jana nimekaa kwenye gari na mawazo kibao sijui kama boss atanipa tena hizi trip za kuelekea mikoa mbalimbali au ndio mwisho wa kibarua changu.
Kuna jambo ulijui wewe, inawezekana Boss wako alionabei uliyopewa wewe ni ndogo sana. Inawezekana yeye alimpata wa 120,000 per night. Akapiga kimoja, akalipa. Demu akasepa. sasa wewe unakuja na wa 70,000.

Akakushangaa kidogo, kakulipia.

Maisha yanasonga.
 
Huo ni utawala wako binafsi hauhusiani na mambo ya kazi(professionalism). Cha msingi usiharibu kazi
 
Mikosi na mabalaa humuingia mtu kwa njia ya zinaa ndio maana vitabu vyote vya imani vimetukataza kuisogelea zinaa.
Ukizini na kahaba unakuwa mwili mmoja na kahaba kama kahaba huyo analiwa tigo basi na wewe unaliwa tigo kwenye ulimwengu usioonekana

Mkuu msamehe tu, huko ulikofika ni mbali sana.. tiGo Love it | live it
 
Wadau hope mpo pouwa juzi nilitokea wilaya ya mvomero huko madizini nikiwa na boss wangu na dereva wetu tulitoka huko madizin turiani mida ya saa kumi na mbili jioni lengo likiwa tuje kulala msamvu ili kesho yake tuwahi kuelekea mikumi kikazi basi tulipofika msamvu tukachukua gesti mitaa fulani ya mafisa.

Boss na dereva walipozama ndani mi nikatoroka nikaelekea mitaa fulani kuna bar inaitwa double view nikachukua manzi mmoja kwa makubaliano ya 40,000 per night nikagonga vi castle lite vya kutosha manzi naye anagonga ndovu tulipomaliza nikaamsha naye gest balaa ni asubuhi demu kaniletea shida balaa anadai tulikubaliana 70,000 hii ni baada ya kuona kitita cha noti balaa.

Boss wangu na dereva wananisubiri mimi tuondoke wakasikia mzozo kugonga mlango nikawafungulia wakanikuta na yule demu boss akauliza kwani shida nini manzi akajibu ananidai 30000 boss akafungua wallet akampa jana nimekaa kwenye gari na mawazo kibao sijui kama boss atanipa tena hizi trip za kuelekea mikoa mbalimbali au ndio mwisho wa kibarua changu.
Ulitumia kondomu?
 
Hahaha mkuu Mafisa kule sitaki hata kupaskia kuna mambo mengi sana sema ulimlegezea sana Boss ungemkazia tu. Watoto wa Moro unaeza kula kuku na mayai yake mkuu.
 
Hahahaaaa Moro panatisha sana cku hizi kama Itigi hapo ni balaaa ...
 
Wadau hope mpo pouwa juzi nilitokea wilaya ya mvomero huko madizini nikiwa na boss wangu na dereva wetu tulitoka huko madizin turiani mida ya saa kumi na mbili jioni lengo likiwa tuje kulala msamvu ili kesho yake tuwahi kuelekea mikumi kikazi basi tulipofika msamvu tukachukua gesti mitaa fulani ya mafisa.

Boss na dereva walipozama ndani mi nikatoroka nikaelekea mitaa fulani kuna bar inaitwa double view nikachukua manzi mmoja kwa makubaliano ya 40,000 per night nikagonga vi castle lite vya kutosha manzi naye anagonga ndovu tulipomaliza nikaamsha naye gest balaa ni asubuhi demu kaniletea shida balaa anadai tulikubaliana 70,000 hii ni baada ya kuona kitita cha noti balaa.

Boss wangu na dereva wananisubiri mimi tuondoke wakasikia mzozo kugonga mlango nikawafungulia wakanikuta na yule demu boss akauliza kwani shida nini manzi akajibu ananidai 30000 boss akafungua wallet akampa jana nimekaa kwenye gari na mawazo kibao sijui kama boss atanipa tena hizi trip za kuelekea mikoa mbalimbali au ndio mwisho wa kibarua changu.
Daah hapo ningekuwa mimi hapo shekh wangu huyo demu angefurah

Maana silaha yao hao ni kwamba usipompa kias alichoktaja anakuaibisha sasa kwa mimi ambye nina uwezo wa kukata mshipa wa aibu kwny matukio km hayo hyo 40,000 pia asingepata, makofi angekula na angetaka kupgizana makelele ningemwambia twende zetu msamvu tukapgizane makelele atangaze nimemla na mimi ntaitikia ila pesa simpi
 
Hahahaaaa Acha tu mkuu hawa hujawahi kuona varangatiii lao watakujazia nzi balaa halafu wanakuaga na u best kuanzia mlinzi hadi mhudumu... Usijaribu
 
Wadau hope mpo pouwa juzi nilitokea wilaya ya mvomero huko madizini nikiwa na boss wangu na dereva wetu tulitoka huko madizin turiani mida ya saa kumi na mbili jioni lengo likiwa tuje kulala msamvu ili kesho yake tuwahi kuelekea mikumi kikazi basi tulipofika msamvu tukachukua gesti mitaa fulani ya mafisa.

Boss na dereva walipozama ndani mi nikatoroka nikaelekea mitaa fulani kuna bar inaitwa double view nikachukua manzi mmoja kwa makubaliano ya 40,000 per night nikagonga vi castle lite vya kutosha manzi naye anagonga ndovu tulipomaliza nikaamsha naye gest balaa ni asubuhi demu kaniletea shida balaa anadai tulikubaliana 70,000 hii ni baada ya kuona kitita cha noti balaa.

Boss wangu na dereva wananisubiri mimi tuondoke wakasikia mzozo kugonga mlango nikawafungulia wakanikuta na yule demu boss akauliza kwani shida nini manzi akajibu ananidai 30000 boss akafungua wallet akampa jana nimekaa kwenye gari na mawazo kibao sijui kama boss atanipa tena hizi trip za kuelekea mikoa mbalimbali au ndio mwisho wa kibarua changu.
ata 40 nyingi sana, walikuona wakuja nn
 
MMH JAMAA FULANI KALIWA NAYE LAKI HIVI HIVI KUOKOTA OKOTA...WATU WANATAKE ADVANTAGE WAKION AMAZINGIRA FULANI...MANZI KAJUA JAMAA FOREIGNER AKAJIUMIZA AKAANZA KELELE ETI ANAPIGWA MARA WALIKUBALIANA APEWE LAKI...BALAAA....NAONA ALIONA UPENYO JAMAA NI FOREIGNER SEMA JAMAA ANA VURUGU SANA ANAKUWAGA NA MAMBO YA AJABU..KAKUTANA NA MWENZAKE......ALL IN ALL MADEMU HIZI TABIA NAZO ZITAKUJA WATOKEA PUANI SIKU MOJA...MAANA ..
 
Usingizi ni nusu kifo, ulikubali vipi kulala na malaya
Sio hivyo tuu una cash
Nikivisualise nakuona na Smart phone yako na pete ya harusi
Tena na laptop bag + mambo kibao ya kazini
Ukichukua watu hao inabidi uwe kauzu kauzu inaonekana alikusoma akakuona uko ki afisa afisa akasoma na show yako akaona ya kiboss boss akajiongeza
Shukuru saana Mungu hajakutafutia mausingizi ya kukuibia
Try to imagine unaamka laptop ya kazini haipo na data muhimu zote ziko humo.
Try to imagine boss una bifu naye au ni yule anaekuchekea usoni tuu
Wale watu ukienda kulala nao ni vita
Ukiwa na minyege yako hata bia usimnunulie chukua mmoja unatafuna unalala
Hawa ukiwa Mkarimu kwao ni Fala
 
You nailed it mkuu... Sijarudia tena michezo hiyo nimetulia now aixee
 
Back
Top Bottom