Sitalala kitandani kamwe unless nimelazwa sijitambui

Duh! mkuu hapa ndo unaniachaga hoi, vituko chungu¡¡
 
wewe nae unafka mbali kitanda sikitaki tena maishani . Uchungu niliyoupata leo ni zaid ya uchungu yaani hadi kwenye kope ni uchungu tu
Pole sana.Tumia nyanyachungu hupunguza maumivu! Halafu,kitanda ukikiweka sebuleni mtakitumia kama sofa kukalia, sivyo?
 
Pole sana.Tumia nyanyachungu hupunguza maumivu! Halafu,kitanda ukikiweka sebuleni mtakitumia kama sofa kukalia, sivyo?
nyanya chungu nipake au nifanyeje dr. Kitanda wife amekuja akicheka taulo limeanguka akasema nimedumbukiza ndan najifanya nimeumia yaan sikitaki na sikipendi. Kikae sebleni tu na watakitumia wanaokihitaji.
 
Kulala chini nako ni changamoto. Yaani naamka kuwa niamke nikanyage chini kumbe tayari niliamka kitambo ni hatua zinahitajika.
 
Hapo mzee majanga kama yote .
1. Maumivu ya kidole
2. Aibu kwa wadada wa KAZI
3. Kesi kwa mkeo
4. Stress

Hatari sana hiyo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…