Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Andunje na wadudu wa ajabuAndunje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
BAKILA ni nzuri zaidi ya akheri powder, nashauri atumie BAKILA anyunyuzie banda zima pia awanyanyue kuku wenyewe, inaua hadi virobotoTumia AKHEIR POWDER itamaliza hao wadudu
Nilitamani kufuga kuku wa kienyeji ili nivune mazao yao.
Changamoto ninayoipata ni wadudu jamii ya utitiri. Yaani ukienda kuwafungulia banda lao unakumbana na utitiri wa kufa mtu.
Hapa nilipo mwili mzima unawashwa kwa sababu ya kung'atwa na hivi vijidudu, nimevipangusa kutoka mwilini zaidi ya 100. Mwili umevimba kwa kujikuna, sitaki tena hawa kuku wa kienyeji bora niendelee kununua mayai.
Kama kuna mtu anajua dawa/mbinu ya kuwaangamiza hawa wadudu anisaidie.
Naleta na picha ya jinsi nilivyojikuna, hadi nguo zote nimevua
.View attachment 1087682
Jogoo hafi kwa utitiri! Komaa mkuuNilitamani kufuga kuku wa kienyeji ili nivune mazao yao.