Sitamani kufuga kuku tena.

Jitaidi kufanya usafi mara kwa mara kwenye banda mwagia na majivu
 
Duh mkuu kweli huo utitiri umekuchakaza, du mpaka vidole vimepinda
 
hamna hela nyepesi, utitiri mbona rahisi kudhibiti mkuu
 
Kama powder tajwa hapo juu ni gharama,chukua magazeti/makaratasi washa kama mwenge wa uhuru then pitisha kwenye kuta na sakafu yote ya banda.Hajawahi kubaki utitiri kwa zoezi hilo.
Ila kama unataka kutibu na kuku,basi powder itakuhusu
 
Ingekuwa kila mtu ana mawazo kama yako basi watu wengi wangeshaacha kufuga kuku.
Kuna changamoto nyingi sana za ufugaji hiyo yako ni ndogo sanaaa
 
Utitiri wanatokana na uchafu wa banda. Tumia akheri powder au dawa yoyote katika dawa za madawa ya mifugo zitasaidia
 

Mkuu hiyo miguu ni yako?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Jogoo hafi kwa utitiri! Komaa mkuu
 
Unaacha mradi kwasababu tu ya utitiri?

Mbona dawa za kuwamaliza zipo nyingi madukani kwa bei nafuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…