Sitamani kuua kabisaaaaaaa

Sitamani kuua kabisaaaaaaa

sangas

Senior Member
Joined
Aug 26, 2012
Posts
135
Reaction score
95
kwa namna moja ama nyingine it makes mi not to live with a woman yaani mke kwani always in ma age with two good prepared gel to be ma wife 4 different vipinds they all end up marrying other men with no strong reason to either side so cms their relation ilikuwepo b4 so tulikuwa kamtandao this makes to hate these pipo sooooo no no no mary i will one some day
 
wataolewaje na mtu ambaye hata kuandika hajui?? Achia mbali kujielezea??

Bora wakukimbie.

Halafu, kichwa cha habari umemaanisha 'kuua'??
 
Sijaelewa kitu, sijui kuua sijui ku-marry! Ihii!
 
u real cms hamweli mada soma tena ili uelewe
 
Kwa mwendo huu naweza sema JF is no longer safe..
Manake nahisi kama imevamiwa na alshabab..
 
Ni vizuri tuwaombe mods waweke jukwaa la kujifunza kuandika litatusaidia sana!
 
mmh! mimi sijaelewa kinachoendelea adi sasa hivi, mtoa mada wajibika upate msaada
 
Umejitahidi,keep on,haya embu kila m2 amwelekeze alipokosea katika uandishi ili ajifunze kesho aandike vizuri, si wote tumetoka international school,
 
kaka kama kweli unahitaj ushaur bac jipange upya, kweli watu hatujakuelewa wangu............
inaonekana kweli una stress wangu, collect yourself, we mwanaume.............
 
You'll never be brave
if you don't get hurt.
You'll never learn
if you don't make mistakes.
You'll never be successful
if you don't encounter failure.

kumbuka...
You can't have a better
tomorrow if you are
thinking about
yesterday all the time.

pole kwa kutendwa.............
 
kaka kama kweli unahitaj ushaur bac jipange upya, kweli watu hatujakuelewa wangu............
inaonekana kweli una stress wangu, collect yourself, we mwanaume.............
he


naona umeona hilo hasomeki au ndo dakika chache baada ya kibuti akapanda na mahasira ya kutojielewa aliweke hapa kivipi tuwe tunatake time kidogo si kukurupuka tu
 
haswa yaan inaonekana huyu ndugu kapanic sana, ndio maana kuanzia title kaharib hata anapojaribu kuelewesha watu bado anakosea kuandika, mapenzi kitu ingine kabisaaaa...............pole yake hata hivyo
he


naona umeona hilo hasomeki au ndo dakika chache baada ya kibuti akapanda na mahasira ya kutojielewa aliweke hapa kivipi tuwe tunatake time kidogo si kukurupuka tu
 
Back
Top Bottom