Sitamani tendo la ndoa msaada

Sitamani tendo la ndoa msaada

Chamachama

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2014
Posts
200
Reaction score
129
sitamani tendo la ndoa,sitaki hata kumuona mume wangu tena natamani kusafili niende mbali kusikojulikana ,ninaujauzito wa miezi 2,je ninamatatizo yoyote ya kiafya?
 
mimba tuu hyo inakuzngua hakuna kngn.... kwan kabla mlkua hvo???
 
sitamani tendo la ndoa,sitaki hata kumuona mume wangu tena natamani kusafili niende mbali kusikojulikana ,ninaujauzito wa miezi 2,je ninamatatizo yoyote ya kiafya?

Mimba tu hiyo mummy.Usifanye huo uamuzi.
Poleee ndo umama huo.
 
Mimi nadhani ukiwa mjauzito hasa mwanzo mwili unapokea mabadiliko makubwa, hivyo inawezekana kabisa usijisikie, maana kiukweli mimba changa zinazingua sana, japo naamini ukifika miezi kuanzia minne utakuwa poa kiasi hivyo shem avumilie tu hako kapito.
 
Usiwaze sn nimimba tu minilichukia nyumba hadi mme wangu akahamia kwenye nyumba ya gharama kubwa wengi wanasema mimba siygonjwa lakini tabu yake bora hata ugonjwa pole sn
 
Mi mbona anaipata sitaki hata anitumie SMS na tuko mbali mbali.
 
lile tendo mshirikiane wote ila ukipata mimba unamnunia. .sio vizuri hivyo...

ila bora umejielewa katika hilo so we mvumilie tu kaa naye jua kuwa ni mabadiliko tu baada ya mimba japo si wote wanaokuwa hivyo. . . uwe karibu na baba kijacho hata kwa kujilazimisha tu.
 
nitafute kwenye namba hii nikupe msaada wa muda mrefu 0655731345 , 0767831345
 
Back
Top Bottom