Sitamchangia pesa Mwanasiasa yoyote

Usitarajie watu wahangaike na wewe kama wewe huangaiki nao.

Maisha kusaidiana, kama huna mchango kwa jamii, basi usitarajie mchango kutoka kwa jamii, na hata ukihitaji mchango mkubwa wakati wewe hukujitoa basi utapiga kelele sana bila mafanikio.

Prof. J., ni msanii ameiburudisha jamii, ameongoza jamii, ameelimisha pia. Kwa hiyo sasa ni zamu yake naye kupewa pongezi kwa kazi yake.

Maisha ni vile unaishi.
 
Mambo ya prof j yamekujaje hapa?
 
Kwa kuwa wanazokunyonya wanachukua chako mapema zimetosha sio🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…