Uchaguzi 2020 Sitampa kura yangu Dkt. Magufuli kwa sababu hii 'kubwa'

Wenye akili kama zako kwenye chama chako wako hawapo tena. Wenzio wako bize kujipendekeza.
 
Nawasihi sana Watumishi wenzangu wa umma. Msimchague huyu mtu. Kwa miaka yake yote mitano aliyokaa madarakani hakuwa na tija yoyote ile kwetu zaidi tu ametuletea maumivu ya kila aina na vitisho visivyoisha.

Ni bora tumpigie kura Hashimu Rungwe Spunda aliyeahidi kuwalisha wanafunzi wote nchini ubwabwa wawapo shuleni. Ila siyo Magufuli anayewaza muda wote kujenga maflyovers yake na kupuuzia kwa makusudi haki na stahiki zetu kama Wafanyakazi wa nchi hii.
 
Na kazi zote hufanya mwenyewe maana hata mawaziri wake husema Jpm ndie kafanya na sio wao

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
Umesahau kashindwa kulipa wafanyakazi wavuja jasho mishahara tangu alipoingia na sasa anaodoka
Wafanyakazi hatutomsahau na tutamlipa alichotufanyia👷✌✌✌✌✌
 
Wapiga dili mmevumilia mpaka mmeona mtoe povu. Mlizoea kuzichota, sasa hamna mwanya mnatapatapa.

Kura yako hiyo moja haiwezi kumnyima ushindi. Kwanza inaweza kuwa ni kati ya zile zinazoharibika.
Sisi wafanyakazi wizara ya kilimo hapa dodoma hatujaongezwa mishahara mipya tangu MEKO alipoingia sasa tumeamua hatutompa kura zetu
 
Wapiga dili mmevumilia mpaka mmeona mtoe povu. Mlizoea kuzichota, sasa hamna mwanya mnatapatapa.

Kura yako hiyo moja haiwezi kumnyima ushindi. Kwanza inaweza kuwa ni kati ya zile zinazoharibika.
Naona hii kauli umeigeuza taarabu?..Hebu sema dili Gani zilizobanwa?.. mbona zinapigwa as usual!..hata yeye anazipiga,,,Mfano Rushwa ipo pale pale,,,
 
Sitampa kura sababu amenizibia mianya ya ukwepaji kodi
 
Mangi salama

Sijui serikali hii ilikukosea nini? Ningeshangaa sana kama nisingekuona kwenye huu uzi hapa.


Kila jambo wewe huwa nikupinga na kuponda.

Unaboa sana, ningekuwa moderator nishachoma akaunti yako kitambo sana.
Mkuu,

Kuna kuunga mkono na kupinga...

Mimi nimechagua kupinga,sasa unataka kunifanyia assasination sababu nimepinga?

Hebu tuwaache wanadamu na uhuru zao almradi haja-empede yours!

Nashangaa leo mtu kupinga hoja umeigeuza crime!

Hata kama napinga kila kitu,niache nipinge,wewe unga mkono!

Yanini unataka kuniua sababu tu hua sipo upande wako wa kuunga?

Why all this hate and extremism?
 
Mmmh du
 
Labda kura atapewa na mkewe...hadi wanyama wetu unawatesa ili waende Rwanda..Atafute Chimbo mapema
 
Wewe na mimi tunafanana sana, mwaka 2015 nilikuwa mmoja ya wafuasi wakubwa wa Magufuli, ila kitendo chake cha kutulimisha na meno kimenifanya nimuone hafai hata kwa kulumangia na ugali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…