Sitamsahau huyu dada

Mnatuharibia njia zetu za asili kwa kutumia kwenu matoyi, kugongwa gongwa na kila aina ya Mwanaume na vyakula vyenu vya kichina/feki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unauhakika kama wanawake wote wanatumia toy au unaongea tu? Kama mnaokotaga makahaba wanaofanya biashara kisha mnasema wanawake wote wanatumia toyi, basi muwe na hekima kidogo basi mbona mie nimekula chumvi nyingi tu hata hizo toyi sijawahi ziona kwa macho na wala sina mpango wakuzijua, sema tu mnamaumbile madogo halafu mnakutana na wenye maumbo makubwa, samahani sikutaka kuandika haya ila imebidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kama huna ni m wewe mkuu mwenzio anazo zakutosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mada hii mbona kuna baadhi ya WADAU wamechangia kwa hisia sana!

Kulikoni?
 
Stupid simp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…