Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Unauhakika kama wanawake wote wanatumia toy au unaongea tu? Kama mnaokotaga makahaba wanaofanya biashara kisha mnasema wanawake wote wanatumia toyi, basi muwe na hekima kidogo basi mbona mie nimekula chumvi nyingi tu hata hizo toyi sijawahi ziona kwa macho na wala sina mpango wakuzijua, sema tu mnamaumbile madogo halafu mnakutana na wenye maumbo makubwa, samahani sikutaka kuandika haya ila imebidiMnatuharibia njia zetu za asili kwa kutumia kwenu matoyi, kugongwa gongwa na kila aina ya Mwanaume na vyakula vyenu vya kichina/feki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app