Sitamsahau JK

Alvin A.

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2016
Posts
2,865
Reaction score
3,633
[emoji848]Enzi za Jakaya Mrisho Kikwete weekend kama hii.
Muda kama huu unakuta upo zako nyumbani. Ghafla jamaa anakupigia simu. [emoji848]

"Kaka upo wapi? njoo Maisha club, beib yangu imekuja na wenzie wawili wa chuo. Watoto wasafi kama sarafu inayotoka mlango wa bank. Toto inanukia safi hiyo asikuambie mtu.![emoji23] Nina kama laki nne na unusu ya kutumia tu usiku wa leo. Ngoja nikutumie usafiri kaka. Ukuje chaap!"
[emoji594][emoji594][emoji594][emoji594][emoji594][emoji594][emoji594]

Waliokuwa wakitoa ofa hizo enzi za JK. Leo wakinipigia simu muda kama huu utasikia.
"KAKA USILALE BILA KUSALI."
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nitajibu hapo kwenye picha
Anza nyama, piga Heineken alafu malizia na chuchu sounds
 
😳😳Huyo dada kakaa hivyo nje na ni mchana kweupee, aisee kuna watu wapo serious kutafuta pesa duuuuhh!!.
 
usipokaza buti utakaza supra.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…