Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂😂Dr. Dre
[emoji1][emoji1][emoji1]
Alihamdulillah umeimarika my dear
Kali kuliko nilipigiwa simu na rafiki saa 6 usiku niko geto nimelala. "Njoo fasta hapa. ...., niko na warembo 3. Usipokuja nitamkosa shemeji yako. Ukipenda njoo na nguo zako tu wallet yako acha nyumbani ".[emoji848]Enzi za Jakaya Mrisho Kikwete weekend kama hii.
Muda kama huu unakuta upo zako nyumbani. Ghafla jamaa anakupigia simu. [emoji848]
"Kaka upo wapi? njoo Maisha club, beib yangu imekuja na wenzie wawili wa chuo. Watoto wasafi kama sarafu inayotoka mlango wa bank. Toto inanukia safi hiyo asikuambie mtu.![emoji23] Nina kama laki nne na unusu ya kutumia tu usiku wa leo. Ngoja nikutumie usafiri kaka. Ukuje chaap!"
[emoji594][emoji594][emoji594][emoji594][emoji594][emoji594][emoji594]
Waliokuwa wakitoa ofa hizo enzi za JK. Leo wakinipigia simu muda kama huu utasikia.
"KAKA USILALE BILA KUSALI."
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1164567
Kali kuliko nilipigiwa simu na rafiki saa 6 usiku niko geto nimelala. "Njoo fasta hapa. ...., niko na warembo 3. Usipokuja nitamkosa shemeji yako. Ukipenda njoo na nguo zako tu wallet yako acha nyumbani ".
Nikabaki nacheka tu. Saa 7 nikafika nakuta wako bwax, nikapiga tarumbeta kama 3 ili tuwe sawa kwanza.
Tena wa la nne....Kuzipata saivi ujue jela inakuita maana wanazo wanafunzi tu