Tobechukwu
Senior Member
- Oct 15, 2018
- 112
- 418
"Bora ukose kazi ila una elimu, kuliko ukose kazi na elimu huna"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elimu ya kikoloni imeua ubunifu na imedumaza akili za watu unalazimishwa kukariri mawazo ya watu katika miongo mitatu ya maisha yako! Unalazimishwa kuyafanyia kazi mawazo ya watu for the rest of your life inakufanya uwe tegemezi kiasi kwamba ukithubutu kusimamishwa kazi kwa mwezi mmoja tu unapata pressure.
Yaani tumetengenezewa mfumo tegemezi wa maisha ambao ukijiingiza kwayo haubanduki hapa ndio unapata risk takers kama akina Bill gates aliyeukataa utumwa wa Fikra akawa huru, akina Steve Job, Mark zukerberg, Thomas Edison.
Kimsingi watu walioamua kuwa huru kimawazo wamefanikiwa sana wana ujasiri sana wa kupambana na maisha yao hawaogopi kukosea ndio matajiri wengi hawakukubali kutumia muda wao kukaririshwa kesho isiyokuwepo, eti unaambiwa education is better than money wazungu siyo watu wazuri, ona mtu kama Diamond ambaye ameamua tu kutumia kipaji chake na kutofungwa mawazo yake alivyofanikiwa
Haha hivi nyie mnaichukulia elimu kwa upana upi? Hela zilikuwepo toka kipindi cha Great Israel..Hiyo peni sijui ungeinunuaje sababu pesa ipo knowledge ya peni zetu hizi hamna...bila watu kusoma na kuumiza kichwa kufanya innovation ya hivi vitu muhimu tunavyotumia leo basi hiyo pesa yako nyingi ingekuwa useless.Money Can Buy Everything Except Death! But Education Can't Even Buy A Pen
Truth in the middle of darknessYaani tumetengenezewa mfumo tegemezi wa maisha ambao ukijiingiza kwayo haubanduki hapa ndio unapata risk takers kama akina Bill gates aliyeukataa utumwa wa Fikra akawa huru, akina Steve Job, Mark zukerberg, Thomas Edison.