Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Engonga si kuna mahali umesema wewe ni Mwafrika ya kati,au umejiandikisha kwa ule uchaguzi 400?Wagombea wangu wote wameenguliwa.
Waliobaki ni wale wanaobebwa na serikali ambao sisi wananchi hatuwataki.
SITOPIGA KURA KUWACHAGUA WALIOCHAGULIWA TAYARI