Sitarajii Kuoa Waziri kutoka Baraza la Mawaziri Mimi Deogratius N Kisandu.

Kuna watu humu hata sielewi huwa wanatumia nini kufikiri, daaaaah tuna safari ndefu sana sisi waTanzania@
 
dah kisanduuuuuu umefanya nimecheka hadi watu wananiona kama chizi.. niligundua wewe ni saa mbovu tokea ulipolalamika hapa jukwaani eti j makamba amegoma kuja kwenye graduation yako, waliokaribu wakusaidie unaweza kupona!
 
Na vipi tunapogundua memba mmoja ana matatizo ya akili taratibu zinasemaje?. Pls wahusika waangalie hili kumbe tumechanganyika na wagonjw wa akili
 
Deogratius Kisandu , mambo ya kitoto pelekea wanafunzi wako shuleni sio kutuletea hapa
 
Hahahaa!hv jaman hyuy mtu umri wake unasemake maana naona vitu vye vingi anavoandika kama haviendani na umri wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…