Sitarudia tena kutumia njia hii ya kurefusha maumbile

Sitarudia tena kutumia njia hii ya kurefusha maumbile

Ng'wanapagi

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2013
Posts
9,116
Reaction score
8,652
Kwanza nawasamehe wote mtakaonitukana na kunikebehi katika hili jambo lililonipata. Wakubwa, niliingiwa na tamaa ya kukuza (kurefusha umbile langu ili niwe nawakomoa wanawake) hivyo nikaingia Google na kukutana na njia ya kutumia mafuta na kuwa nauvuta uume mithili ya kukamua maziwa ya ng'ombe.

Pasipo kutarajia nimejikuta najiingiza katika tabia ya kupiga punyeto kutwa mara tatu na sitamani tena tendo la kujamiana na girlfriend wangu.

Hivyo kwa sasa Niko katika zoezi ngumu la kuikimbia hii tabia japo ni ngumu sana. Msijaribu kabisa hizi shauri za kwenye mitandao mwenzenu sitarundia tena.
 
Dah, huo msala huo.
hakuna njia proven ya kuongeza hayo madude humu mitandaon. Ukitaka njia ya kuongeza ni Pm nitakupa suluhu.
 
nakupa njia ya kutatua ilo jambo yan chukua pilipili kichaa uzisaje then ukitamani kapunye.. unachukua unga wa pilipili unautumia kama sabuni ama ni pm nikupe ushauri zaidi

Mmmhh we muuaji😕😕
 
Je ulifanikiwa kukuza uume wako?
Pole sana, yani punyeto ya ukubwani ndio imekuathiri kwa ghafla kiasi icho?
 
Punyeto ina utamu wake. We endelea tu kupiga itakusaidia kujiepusha na maradhi ya kuambukiza.
Jinsi ya kuepuka ukimwi:
ABCP (Abstinence, Be careful, Use Condom, Punyeto)
 
Punyeto ina utamu wake. We endelea tu kupiga itakusaidia kujiepusha na maradhi ya kuambukiza.
Jinsi ya kuepuka ukimwi:
ABCP (Abstinence, Be careful, Use Condom, Punyeto)

Duuu!!
 
Karibu sana,CHAPUTA bado kinahitaji wanachama ingawa umeingia bahati mbaya endelea kupiga kwa makusudi.
Kama bado haujaoa huu ndio wakati wako maana uliiruka hiyo kitu acha kulalamika hiyo kitu ni Stress less.
 
umelikoroga basi linywe tu kaka karibu makao makuu ya CHAPUTA kwa ushauri na usajili wa kudumu
 
Ha ha ha we jamaa bhana, kwani Gf wako alikwambia humlizishi kwa sababu Una kibamia?...sasa mkuu CHAPUTA sports Club waking'ang'ania kwamba wewe Ni mchezaji wao imekula kwako,jitoe katika hiyo timu fasta kabla hujachelewa..
 
Wanawake tusaidieni kabla wengine hawajaingia kwenye huu mchezo wa kurefusha kimeo. kweli saizi ina matter ? does size really matter ?
FaizaFoxy,
Masai dada
Chagga girl please .........
 
Back
Top Bottom