Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,652
Kwanza nawasamehe wote mtakaonitukana na kunikebehi katika hili jambo lililonipata. Wakubwa, niliingiwa na tamaa ya kukuza (kurefusha umbile langu ili niwe nawakomoa wanawake) hivyo nikaingia Google na kukutana na njia ya kutumia mafuta na kuwa nauvuta uume mithili ya kukamua maziwa ya ng'ombe.
Pasipo kutarajia nimejikuta najiingiza katika tabia ya kupiga punyeto kutwa mara tatu na sitamani tena tendo la kujamiana na girlfriend wangu.
Hivyo kwa sasa Niko katika zoezi ngumu la kuikimbia hii tabia japo ni ngumu sana. Msijaribu kabisa hizi shauri za kwenye mitandao mwenzenu sitarundia tena.