Sitasahau biashara ya uchimbaji ilivyonifilisi

naam, mambo mengi kweli, ngoja nichukue Pepsi na popcorn niwahi siti ya mbele kabisa
 
Nikifanyaga biashara tu nikapata hasara,
Huwa naona kama nimepoteza pesa sana,
Kumbe aisee bado sijapoteza pesa kabisa,
Nikilinganisha na hii stori,
Acha niendelee kutafuta aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na mimi yamenikuta ya kushawishiwa ila ndugu yangu yeye mtaji wake mkubwa ananunua kwa wachimbaji wadogo kisha anawauzia wadosi na wathailand nipo nafikiria kwanza japo anauzoefu na mawe yanampa fedha kinoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani nilikuwa nina wazo la kununua gold detectors toka Germany naona acha nivute subra tu


Sent from my iPhone using Tapatalk

Ipo mkuu kama utahitaji nikuuzie yangu sina matumizi nayo tena bado mpya sana

 
Pole mkuu, katika mambo shughuli complicated, hii ni mojawapo

Sasa mtu mzima akiingie afanye, ndio inakuwa ngumu zaidi
Mkuumimi mzee wangu kabisa ilimuingiza kwenye matatizo hiyo biashara...baada tu ya kupokea kinua mgongo chake basi hao marafiki walipotekea kila mtu anamwambia kuhusu madini mpaka hela ilipoishia hatukuona cvha madini wala nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye biashara ya madini ni bora kuwa mnunuzi wa madini kuliko uchimbaji, japo faida kwa mnunuzi ni kidogo ukilinganisha na mchimbaji mwenyewe akifanikiwa kupata madini, naye ana risk kubwa ya kupoteza ukilinganisha na mnunuzi. Dhahabu unaweza lala masikini ukaamka tajiri siku moja hali kadharika leo ukalala ukiwa tajiri na kuamka kesho masikini. Nilichokiona huko walioendelea kuwa matajiri ni wale wanapata fedha huko na kuamua kufungua miradi mingine tofauti kabisa na ya uchimbaji na sio wale waliozidi kuinvest kwenye biashara hiyo.
 
Aisee ungejua ungekabiz tajiri awe anakulipa Kama boda boda apate asipate akulipe shimo lako[emoji26][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umeandika vizuri sana, tena kwa njia ya kuvutia. Asante sana kwa ku-share experience yako ya maisha.
 
Daah yaani kama biashara ya masanduku ya mjerumani!!
 
Duh salute sana man kwa kujaribu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…