OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Mkuu tupe ABC kidogo...[emoji28][emoji28]kumbe na ushirikina hehhee!mbombo jilipo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tupe ABC kidogo...[emoji28][emoji28]kumbe na ushirikina hehhee!mbombo jilipo!
Yaani nilikuwa nina wazo la kununua gold detectors toka Germany naona acha nivute subra tu
Sent from my iPhone using Tapatalk
Mimi yaliwahi kunikuta kweny Kilimo cha nyanya.
nlipiga Loss ya zaidi ya Milioni2.
Nikitulia nitaileta hii stori ili wengine wajifunze. Sijakata tamaa sahizi najipanga narudi tena shamba
Nenda kakola ukajionee namba 9 maduara yamejaa maji kama wapo kwenye ufugaji wa vyura, halafu mvua haitaki kupumzika inagonga kama wakati wa NUHU
Duh huyo jamaa ana roho ngumu aisee.Dah kwa changamoto hiyo ya mtaji mdogo kufilisika ni lazima.
Kuna jamaa yangu tulisoma naye alikuwa mfanyakazi wa Tanzanite one Mererani baadae akaacha kazi baada ya kaburu kusepa.
Jamaa akaingia porini kuchimba dhahabu kamata site akaajiri mtaalamu wa miamba, mtaalamu wa mazingira, wachimbaji, akatengeneza muundo mbinu safi. Akaanza kazi
Nguvu aliyowekeza na dhahabu aliyokuwa anapata haviendani, akakomaa akaongeza mtaji milioni 90 ikakata, akatoroka mgodini akarudi home akauza gari yake Toyota landcruiser, akauza gari ya mke wake, viwanja viwili viko sehemu nzuri sana, akaingia benk akavuta mkopo akarudi mgodini.
Piga kazi kwa kwenda mbele aisee jamaa alivuna dhahabu ya kutosha. Akalipa madeni yote ikiwemo la mzungu flani walikuwa partneship mzungu mwanzoni aliweka milioni 200 ikapotea.
Jamaa kwa sasa yuko vizuri sana dhahabu imemuongezea utajiri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kakola ukajionee namba 9 maduara yamejaa maji kama wapo kwenye ufugaji wa vyura, halafu mvua haitaki kupumzika inagonga kama wakati wa NUHU
Duh!..kaka ina maana hapa hujajua shida ni nn?watu wanachimba kienyej
Labda kwa biashara nyingine nje ya dhahabuwalimake sana hela!hela
Labda kwa biashara nyingine nje ya dhahabu
Mkuu nimekuwepo huko najua nje na ndani atleast wale wanaozesha marudio angalau kidogo, wengine ni wale wamilki wa maeneo kama ustadh yule wakwanza kabisa kuchimba pale namba tisa wengine ni stori tuuDhahabu!ilikuja haribika kuanzia sept hv!niulize mm!
Mkuu nimekuwepo huko najua nje na ndani atleast wale wanaozesha marudio angalau kidogo, wengine ni wale wamilki wa maeneo kama ustadh yule wakwanza kabisa kuchimba pale namba tisa wengine ni stori tuu
Aisee hajashtuka tu?biashara ya hayo maduara ilimfilisi Uncle..
alikuwa na Hotel na nyumba tena katikati ya jiji LA Mwanza...vyote aliweka poni kama hajauza
wajanja wakamhadaa...na tamaa ikamtawala,tena ni doctor
halafu hajakoma story zake ni hizo hizo za machimbo ya Geita na utajiri nje nje
Sent using Jamii Forums mobile app