Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
Huyo mu
Huyo ni muongo Strong room naifahamu ya mgodi Fulani aisee hata uje na uganga huibi bar yoyote ya dhahabu, hata licha ya uwepo wa ulinzi wa watu na camera wazungu nao uchawi wanaujua sana.Anasema huhitaji funguo kwenda.
Unapita kama upepo tu.
Kuna jamaa aliwawezesha wakaenda....wamefika kule wakamkuta mzungu anakata mzigo ....wakaanza kumchezea kwanza.....hakushtuka wakachukua mali wakasepa..ile wanatoka getini muda wao ulikuwa umeisha wamepoteza muda kule ndani..,.wakaonekana
...unaweza kusikia sauti inakuita....uligeuka tu imekula kwako
Ila kwa mimi simwamini