Sitasahau biashara ya uchimbaji ilivyonifilisi

Pole sana kwa yaliyokupata,ni sehemu ya maisha ya utafutaji.kufadhili uchimbaji wa maduara ni sawa na karata,wapo waliofanikiwa tena sana lakin wengi wamefilisika kama wewe ndugu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karasha (crusher) hii inasaga tuu mawe kupata unga laini kama sementi.
Kinachotenganisha dhahabu na takataka nyingine ni Mercury
Sawa. Kwa experience yako.ipi afadhali. Kuendesha crusher au mduara? Naomba ufafanuzi wa mwenye crusher anaoata faida wapi. Au anasagawa mawe ya watu kama mwenye mashine.ya unga anavyosagia watu wanaoleta mahindi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa. Kwa experience yako.ipi afadhali. Kuendesha crusher au mduara? Naomba ufafanuzi wa mwenye crusher anaoata faida wapi. Au anasagawa mawe ya watu kama mwenye mashine.ya unga anavyosagia watu wanaoleta mahindi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa na crusher faida yake ni pale unapouza mchanga wa pembulio maana kule mali inabaki.
Pia faida kubwa ipo kwenye mchanga unaobaki.
Kwa miezi 6 unaweza uza mchanga wa mil 100+ inategemea na dhahabu iliyopo
 
Vipi ukijenga plant faida ipo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🤣🤣🤣🤣 umenikumbusha nilishafanya huo upuuzi sehemu inaitwa Ishokela Mwanza nikaambulia manyoya. Stori yako haitofautiani sana na yangu ila mi nilifanya kwa mwezi mmoja na nusu.
Kule tuwaache wazawa na wenye pesa zisizo na mawazo
 
Kujenga peke yake ni mil 100+ au una maanisha pamoja na kununua vifusi kama unatumia mwenyewe hizo plant?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kujenga na kuingiza umeme.
Maana nyingi hujengwa mbali na makAzi ya watu hivyo umeme ni kufuata mbali + kuweka transfoma yako
 
Kujenga na kuingiza umeme.
Maana nyingi hujengwa mbali na makAzi ya watu hivyo umeme ni kufuata mbali + kuweka transfoma yako
Duuuuh,mpaka transformer yako?kweli 100 lazima ifike,aliyenipa info anasema huko alipo hizo plant zina gombaniwa sana na kuna foleni mpaka za miezi mitatu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…