Sitasahau biashara ya uchimbaji ilivyonifilisi

Brilliant advise
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan ww una uncle nzega succesful na ww dar unafanyaje??dah...mie nisingeweza ..ningeenda aisee!hope umeridhika!
Hehehe...Wadogo zake wenyewe kila mtu ana mishe zake, hata hvyo viwanda akiwasha they wont join him...mmoja ana kiwanda cha mpunga igunga mwingine yuko Gaki kule...huku kwetu kila mtu anakufa na tai yake shingon, mwanae wa kwanza niko nae hapa dsm..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..mtoto wa tariji nae anahangaika

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ishuu sio akakupe mapene...! Nenda ukapate ujuzi...usimtegemee ww kukupa hela! Kapate ujuzi uje ufanye yako!..
 
Ishuu sio akakupe mapene...! Nenda ukapate ujuzi...usimtegemee ww kukupa hela! Kapate ujuzi uje ufanye yako!..
Sijion nikiingia kwenye madini kamwe...labda kwenye viwanda vyake huko naweza jifunza viwili vitatu (nafugia kiwandan hapo, kuna eneo hatumii) huko ndio naenda...migoni sijawah waza hata sec 1

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chali yangu nimecheka sana. Hizo ndio mapigo za madini. Nimepiga sana hizo mbishe mererani, kagongwa, mgusu, magwangala ya GGM ikifuatwa na risasasi na funga kazi Ulanga nikarudi na amueba ya kukata na shoka. Nimetemana na hizo mbishe kabisa. Mkuu pole sana. Kuna watu wanatamani niwafundishe, nikiwaambia hamuwezi wanasema nawabania.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
tatizo ni kuweka utaalamu pembeni na kutegemea ndumba kupitiliza,huyo mganga wako wa mwisho aliupa ushauri mzuri tafuta mtaalamu
 
.o
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ndiyo nashusha duara Sasa Maeneo ya mwambu. Unahitaji pesa siyo maneno na Kama unachimba Huku mawazo yako yote ya kutajirika yako hapo huwa ngumu Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…