Sitasahau biashara ya uchimbaji ilivyonifilisi

uchimimbaji mdogo ni kma kamari pata potea wengi wanapoteza kuliko wanao pata nmeona thread hii nmembuka Mzee
mmoja alikua alwatan sana hapo geita kwa sasa ni marehemu , kifo chake kilitokana na stress baada ya kipoteza mamilioni huko machimboni , ameacha familia kwenye msoto mkali kutoka kwenye umilionere mpk daraja la chini kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
""Wenzako huwa wanalala hapohapo,,


Yaani sie tupigwe na baridi, wewe uje uchukue kirahisi tu,,

Tukifikia mali tunatoa kimya kimya na wewe hutojua,, [emoji23][emoji23],,

Tunampelekea Kotaz tunachukua chetu,,,,

We ukija tunakwambia bado bado, hadi uje ustuke sio leo""

Hayo ni maneno ya nyoka[emoji115] wa pale nyarugusu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa nalala kwenye fello(udongo)
Najifunika ngumi
Sometimes nashuka chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…