Sitasahau biashara ya uchimbaji ilivyonifilisi

Kwa imani yangu hayo mambo ya waganga siwaamini kabisa,ila kuna vitu nitakushauri ukipenda kwani madini yana asili ya ushetani,Kwa sie waislamu katika Quraan yetu kuna baadhi ya sura zina maana yake na pia baadhi ya sura ukizisoma kwa baadhi ya mambo yanakuwa wepesi,kwaiyo nakushauri rudi tena mgodini mtafute shehe ambae ni mchamungu asomee maji kwenye chupa ama uende nae kwenye hayo maduara halafu akusomee surat Al-Ahzab
 
Mkuu toa ABC ya hiyo biashara ya Guest House!
 
Wachimbaji wana tabia moja wakichimba mda mrefu hakipatikani kitu alf wakaona tajiri ana anza kukata tamaa wanaenda kuchukua sample za mchanga duara jingine huko ambalo lina ppm nzuri wanaingia nao duarani basi wali ibuka wanakuja nao ukienda kupima unaona umekaribia kupiga hela utaenda hata kuuza nyumba kumbe unaingizwa mkenge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa vipi ulifanikiwa na uchimbajiii.

Mashimo yalikupa faida au laaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii biashara ilimuingiza matatizoni mstaafu mmoja,

Kutoka kiinua mgongo cha mil. 100+ hadi mil. - 60, ninamaanisha negative million 60

Nyumba ikawekwa mnada, mzee akawa na madeni chungu nzima, kila kona

Madini madini madini

Kuna umri wa kujaribu mambo ya madini, lakini si miaka 60+
Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Jamaa wa pembeni wananipamba....jamaa komaa hapa umepita mkanda kabisa"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka saaana .....Ila pole saana mkuu na Akhsante kwa kutupa mwanga kwa upande huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema ww akili ushailisha negativity!labda na kila mtu na akili yake!...ukiweka kalasha 2 in a month/2mths ushakuza kifusi chako...!

.......
.......
.......hela iko huku!
Ukiwa na karasha, na sehemu ulipo kuna mizigo au una capital ya kupata mawe ni bora zaidi.

Ila nayo unatakiwa mfukoni uwe vizuri, unless gharama za uendeshaji ziwe chini as in maji mwaloni, kuopoa, kudhamini wateja n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu bado kidogo tu uchukue V8 yako [emoji1544][emoji1544][emoji38][emoji38] watu wanajua kutia moyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…