Sitasahau jinsi mchepuko alivyo ninyoa vinywele ukubwa vyote, kisha akanipiga picha na kumpostia mke wangu. Mke wangu akafurahi sana

ulikuwa umekufa wewe, yaani mtu akunyoe usijueee
 
Niliwahi kumsikia dokta mmoja, nadhani ilikuwa clouds FM, alisema hivi, kuna tofauti kubwa kati ya mwanamke kumfumania mmewe na mme kumfumania mkewe.
Mke anapofumania anaona penzi lake limeingiliwa; hivyo akihakikishiwa kuwa penzi lipo, anasamehe haraka, lakini mme anapofumania anaona HIMAYA yake imeingiliwa na ndiyo maana mara nyingi hufuatiwa na ulipizaji kisasi, Kurudisha himaya siyo rahisi kama kurudisha penzi
 
Mkuu na zile zinazonguka eneo la kwa MPALANGE BUZA nazo alikwangua [emoji1787][emoji1787]
 
Wanaume na wanawake tunaona mambo kwenye dimensions tofauti sana
 
Hongera kwa kuwa na mke anaejielewa na kuelewa mume wake ni mtu wa namna gani
 
Duuuu....mke wako ana raha,umebadilika baada ya kuona unatendewa mema,mimi wng ninavyomsamehe ndio ananizidishia dharau na kiburiiiii ananiona sina pa kwenda,tutabanana humu ndani ila kila mtu atafanya kinachompa furaha
 
Mchape mimba huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…