EL ELYON
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 1,565
- 1,918
Wakuu mmebarikiwa Sana sana na Mwenyezi Mungu.
Moja Kwa moja kwenye hoja. Aisee hizi ndoa hizi bro alioa mdada mmoja WA kisukuma toka kahama Dada alikuwa na mashauzi hatari kulinga Kama kote akaweza kumtawala na mama mkwe wake yaani akamaliza Kila kitu kwani Wana familia wote tukawa tunaonekana makapuku tuu.
Kuna kipindi bro alienda kusoma mkewe akamuacha nyumbani tukawa Naye pale kwenye nyumba ya familia mmmh mdada muda wote kalala ye ni Sisi wanaume tumpikie na tumuamshe ale na tuoshe vyombo hazungumzi na mtu wala kucheka na mtu zaidi ya ma mkwe wake Tu.
Bro alipomalza masomo wakaenda mkoa mwingine kuishi huko aisee Kila mtu aliogopa kwenda kumtembelea bro hata kama tusikie anaumwa ni mama ake Tu ndo alikuwa anapenda.
Sister aliwahi pita zake huko akiwa njiani anaenda mkoa mwngn sjui walizinguana nini eeeh usiku nasikia alitupiwa mabegi yake nje na bro alikuwa Hana say yaani sjui Alifanywaje na Yule mwanamke.
Sasa matukio mazito yakaanza Kwa ma mkwe wake dada alikuwa ana Roho mbaya Sana kuna siku ma mkwe wake sjui walizinguana nn aisee naposema mkwe wake namaanisha mama ake na bro na mke WA bro sjui lilitokea nini huko wakaanza rushiana maneno mazito mwisho mdada akamwambia mama mkwe wake tutaona Kati yangu na wewe ni Nani zaidi Kwa mume wangu. Ilikuwa shughuri.
Siku moja Yule mdada alijifungua ikabidi mama mkwe wake aende kumsaidia eeeh tukaambiwa ma mkwe akipika uji au mtori mka mwana hanywi Naye anainuka anapika vya kwake anakunywa.
Ikifikia hatua ma mkwe akienda kuwatembelea anafikia guest kama ni wiki basi wiki atakaa guest na bro Hana say kbs yaani haelewi.
Aisee siku moja mtoto mkubwa WA bro ambaye ni binti alimuita baba ake akamwambia usione mama vile ananipiga Sana sababu si kwamba nakosea, Ila mara nyingi usiku huwa ananipeleka kusikojulikana Ila huwa naona watu wengi Sana wakiwa uchi na mama anachukua furushi kubwa ananipa nichukue mkononi mi huwa nakataa na sijawahi kukubali kabisa japo hakati tamaa hiki ndo kisa cha kunipiga mara Kwa mara.
Kauli Ile ilimstua Sana bro ikabidi akili ifunguke sasa kwani ilifikia hatua bro akawa analazwa chini na kufanyishwa kazi zote za ndani ilikuwa ukikutana Naye huwez Amini ukiambiwa anafanya kazi Fulani kubwa Tu Yuko chakali amekonda.
Hali ilikuwa Tete bro ilibidi apambane akishirikiana na mama ake wakampata mtaalam mmoja aisee kumbe Yule mkewe alikuwa mchawi na uchawi alirithishwa na mama ake Naye alitaka kumrithisha mtoto wake.
Bro anasema alikuwa anashangaa akirudi nyumbani mkewe anamwambia Kila tukio bro alilofanya kazini yaani Kila kitu mpka chakula alichokula ilimpa shida sana.
Baada ya kutoka huko Kwa mtaalamu aliambiwa akirudi pale kwa Yule mkewe ndo utakuwa mwisho WA maisha yake siku hiyo ikabdi bro apambane kutoa talaka jpo Yule mwanamke alisumbua Sana bt mwisho WA siku waliachana lakini Kwa jasho na damu.
Hizi ndoa hizi iweni makini mnapotaka kuoa chunguzeni Kwa umakini Sana.