Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ropoka Tu utambue kuna ulimwengu WA Roho na ulimwengu WA mwili.Kilichokushangaza ni nini? Kwamba unaona kaka yako hajaoa msukule?
Sasa kama anaoa mke ambaye hana nidhamu kwa ndugu zake, na anashindwa kuchukua hatua... basi atakuwa bwege au kaoa msukule
Vitu vingine mnamsingizia Mungu tu. Yani shemeji yako kalala dume zima unaenda kumpikia, anakula unaosha vyombo wakati yeye kaenda kulala...We ropoka Tu utambue kuna ulimwengu WA Roho na ulimwengu WA mwili.
Mungu na shetani ni ulimwengu WA Roho. Ukichezewa kekundu ulimwengu WA Roho either iwe upande wa Mungu or shetani Kwa taarifa yako hutoboi Kwa akili za kimwili endelea kubeza Tu hayajakufika
Mi sijasoma vishule vyenu hivi vya siku hizi mnakula chipsi mayai...Uzuri nawe umesoma shule HIZO hzo kwahiyo lazma wewe utakuwa na PhD ya ujinga.
Asante baVitu vingine mnamsingizia Mungu tu. Yani shemeji yako kalala dume zima unaenda kumpikia, anakula unaosha vyombo wakati yeye kaenda kulala...
Ujinga mwingine bora muwe mnakaa kimya. Mnajichoresha tu...
Asante Babu endelea kulea wajukuu Kwa akili hzi hao wajukuu watakuwa mbumbu unashindwa kujua uwenda tulikuwa na umri fulan ambao ukiamrishwa na mkuu WA Kaya huwezi leta ubishi hivi ni kweli hujaona hapo nimesema mama mwenye nyumba alikuwa kashikwa na Yuko upande WA mkwe wake na pale ni nyumbani kwake hivi mtu unaanzaje kugoma mimi nilikuwa kidato cha tatu wakati huo na katika madogo tulipokuwa pale ndiye nilikuwa mkubwa jaribu kupata picha sasa Acha mihemko aisee hayajakufika bro alismulia vile alikuwa anateseka mpk analazwa chini na kufanyishwa kazi na mwanamke kilaza Tu Kula kulala mtu unaweza kumtusi lakini kuna Mambo yanafanywa yanakuwa beyond na akili za kawaidaVitu vingine mnamsingizia Mungu tu. Yani shemeji yako kalala dume zima unaenda kumpikia, anakula unaosha vyombo wakati yeye kaenda kulala...
Ujinga mwingine bora muwe mnakaa kimya. Mnajichoresha tu...
Haya bhanaAsante ba
Asante Babu endelea kulea wajukuu Kwa akili hzi hao wajukuu watakuwa mbumbu unashindwa kujua uwenda tulikuwa na umri fulan ambao ukiamrishwa na mkuu WA Kaya huwezi leta ubishi hivi ni kweli hujaona hapo nimesema mama mwenye nyumba alikuwa kashikwa na Yuko upande WA mkwe wake na pale ni nyumbani kwake hivi mtu unaanzaje kugoma mimi nilikuwa kidato cha tatu wakati huo na katika madogo tulipokuwa pale ndiye nilikuwa mkubwa jaribu kupata picha sasa Acha mihemko aisee hayajakufika bro alismulia vile alikuwa anateseka mpk analazwa chini na kufanyishwa kazi na mwanamke kilaza Tu Kula kulala mtu unaweza kumtusi lakini kuna Mambo yanafanywa yanakuwa beyond na akili za kawaida
Vizuri Ila namshukuru Mungu nimepiga hatua Kwa hzi hizi shule za chips mayai. Maana pengne umekalili shulen mpk mle ugari na maharage yny wadudu na makande mabaya hapo ndo unaona upo shule sasa Ila utambue dunia imebadilika Sana kwasasa na Kwa akili hizi ni mgumu Sana kuendana na mabadiliko ya duniaMi sijasoma vishule vyenu hivi vya siku hizi mnakula chipsi mayai...
Pole sana....Vizuri Ila namshukuru Mungu nimepiga hatua Kwa hzi hizi shule za chips mayai. Maana pengne umekalili shulen mpk mle ugari na maharage yny wadudu na makande mabaya hapo ndo unaona upo shule sasa Ila utambue dunia imebadilika Sana kwasasa na Kwa akili hizi ni mgumu Sana kuendana na mabadiliko ya dunia
kamwelezea shemeji yake pamoja na kaka yake ndio maana ametumia hivyo ma mkwe na mama yake bro, angetumia 'mama yangu' tungeona ama anamtetea au amekuja kulia lia JF. Kajua kucheza na hisia + akili za wasomaji. Amejitenga na wahusika kimtindoSijui ni kwanini hutumii neno mama yako badala yake unamuhuisha na shemeji yako.
Kila mara ni mkwe wake. Mara mama yake bro, mhmhmhmh!....
Au hakuwa kaka yako wa damu?
Acha bro mimi mwenyewe ilifikia kipindi nilikuwa nalala kwny pagale nyumba yako unaiona ile pale,wanawake waone hivyo hivyo.Asee bonge la stori, kwa hiyo siku hiyo ambayo Bro wako hakurudi home alilala wapi? Je siku ambayo bro wako anaambiwa na mwanae kuwa mama yake ni mchawi Mama hakujua?
Ulivyoelezea nimetoka machozi yaani mkasa wa bro wako na mimi tofauti ni kabila la mwanamke,mimi mke wangu alikuwa mpare lakini matukio yote yanafanana,nilimpa talaka kwa kuvizia aliaga anaenda kwa dada yake kusalimia nikampiga red card juu kwa juu,pia alijaribu kumrithisha uchawi binti yetu,si hivyo tu watoto wa kwanza walikuwa mapacha walifariki ktk mazingira tatanishi kumbe mwenzangu katoa kafara ili apate cheo kwny chama chao cha uchawi,yaani ukimwona huyo mwanamke jinsi alivyo na matukio anayofanya unaweza sema anasingiziwa.namuonea huruma sana jamaa furani anaekwenda kumuoa hivi punde.
Pole sana Bro, ulitoka tokaje hapo?Acha bro mimi mwenyewe ilifikia kipindi nilikuwa nalala kwny pagale nyumba yako unaiona ile pale,wanawake waone hivyo hivyo.
Ulivyoelezea nimetoka machozi yaani mkasa wa bro wako na mimi tofauti ni kabila la mwanamke,mimi mke wangu alikuwa mpare lakini matukio yote yanafanana,nilimpa talaka kwa kuvizia aliaga anaenda kwa dada yake kusalimia nikampiga red card juu kwa juu,pia alijaribu kumrithisha uchawi binti yetu,si hivyo tu watoto wa kwanza walikuwa mapacha walifariki ktk mazingira tatanishi kumbe mwenzangu katoa kafara ili apate cheo kwny chama chao cha uchawi,yaani ukimwona huyo mwanamke jinsi alivyo na matukio anayofanya unaweza sema anasingiziwa.namuonea huruma sana jamaa furani anaekwenda kumuoa hivi punde.
We ropoka Tu utambue kuna ulimwengu WA Roho na ulimwengu WA mwili.
Mungu na shetani ni ulimwengu WA Roho. Ukichezewa kekundu ulimwengu WA Roho either iwe upande wa Mungu or shetani Kwa taarifa yako hutoboi Kwa akili za kimwili endelea kubeza Tu hayajakufika
Naishi usukumani jamani ni wachawi unaweza acha kazi mgeni ukijenga jiandae kwa majanga makubwa yamenikuta sina hamu na hilo kabila.
Wasukuma Bora HATA wangekuwaga washirikina Tu kama wanyamwezi... Wao Ni wachawi kabisa.. HATA teknolojia ya misukule wao ndio wame IvumbuaSema imani za kishirikina hazionekani tu kwa macho ila ningekua na uwezo ningewatahadharisha sana kaka zangu kuhusu mabinti wa kisukuma.