Mi niliishi nae na nilimgundua wiki ya kwanza tu kuja ghetto, nilikuta kikaratasi ameandika jina langu afu mbele jina lake then jina langu hivyo hivyo karudia kama mistari saba hivi, ila kiukweli kama kuna watu siwaogopi kwa sababu na uhakika hamna kitu wanaeza nifanya ni wanawake washirikina.
Nilimvumilia ila kichwani nilishaweka akilini kwamba ni mwanamke ambaye siwezi, sitoweza kuishi naye nlikuwa namuobserve tu nijue washirikina wanafananaje. Ila kilichonifanya nimtimulie mbali ni uchafu washirikina ni wachafu na ukiwa na mwanamke mshirikina ndani mwako hamna baraka ya Mungu itakosea njia iingie hapo, ni michafu hii mijitu Acha kabisa.
NB. Nilichojifunza katika research yangu
I) hawa wanawake washirikina wana nuksi na mikosi ukiishi naye utapata pesa kwa shida sana na ukiipata anakuwa tayari kakutajia vitu anavyotaka umnunulie hivyo hata hiyo hela umnulie usimnunulie hauta ona ilipoenda utajikuta tu umeishiwa (mahitaji anayokutajia sio mahitaji ni manuizi)
2) wanapenda kukuchokoza, kufanyia maksudi/drama ilimradi akutibue tu anakutingisha kama umejaa (kuna siku nlitaka nimtwange nyundo ya bichwa hapo ndo wazo la Kimungu likanijia nimtimue aende kwao)
3) asilimia kubwa ya wanawake washirikina wanakimoja au vyote kati ya hivi, ujinga yaani shule hamna au failure na umasikini yaani halo ngumu ya familiar wanazotoka, sisemi wakishua hawana hizo mambo ila mpaka mtoto wakishua akufanyie hivyo labda uwe umemzidi kipato au umaarufu unless otherwise atakuwa anataka kukutoa kafara atajirike yeye.
Angalizo: ukigundua mwanamke wako Ana haya mambo timua bila hata kuomba ushauri mahali, la sivyo ipo siku yatatokea majanga mkubwa zaidi either akumalize au ummalize.
Nitaandaa uzi ni namna gani nilimgundua na ni mambo gani huwa wanapenda kufanyia labda itawasaidia wanaume wenzangu kutuepusha na hili janga.