Sitasahau mara ya kwanza "nazama uvinza"

hivi anayezama chumvini nikisema anaramba mab*ro ya wanaume wenzake nitakuwa nakosea?
Unanikumbusha kula kwa kijiko hotelini 🀣🀣🀣

Tena hotelini mbali, chukulia hii migahawa ya kati maeneo ambayo yapo busy wakati wa lunch - Kariakoo, Mwenge, Morocco, Mbagala, Mbezi, Gongo la mboto, Karume nk. Kutumia kijiko ambacho mwenzako ametoka kutumia muda si mrefu ni jambo la kawaida sana. Mtu anamaliza kula, vyombo vyake vinatolewa, vinaoshwa kisha unapakuliwa wewe chakula chako na vyombo+kijiko alichotoka kutumia huyo mtu unaletewa wewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Glass za juice za miwa usisahau!
 
Umenikumbusha mbali sana hicho kipindi,sasa sijajua huyu jamaa alikuwa muongo au vipi maana tangia hapo sijajua nini kiliendelea
 
hivi anayezama chumvini nikisema anaramba mab*ro ya wanaume wenzake nitakuwa nakosea?
Kulikua na bar moja pale ilala inaitwa Bonga bar. Hapa Bonga kagiza kakiingia tu utakuta wanawake wanaingiza vichwa chini ya meza na kuanza kuwanyonya wanamme sehemu za Siri.
Kipindi hicho Mimi nilikua nakunywa beer kwa glasi. Sasa Kuna siku nikaenda kukagua ile gesti bubu iliyokua pale, so nikapitia wanapooshea glasi. Nikakuta Kuna ma sink mawili, yote yamejaa maji, la kwanza maji yake ni Kama beer kabisa, la pili sio Sana. Basi nikamuona muosha glasi anatumbukiza glasi chafu kwenye sinki la kwanza Kisha anazitoa na kuzitumbukiza kwenye sink la pili, bila kufuta Wala nini na kuzirudisha bar zitumike. masink yote maji baridi. Ile ndio siku yangu ya mwisho kunywa na glasi ya kwenye bar.
 
Kwanini usituambie na Ile kitu unafanya Ili nasi tusipate cancer 😞😞😞
 
We endelea tu na huo mchezo,ukipata mabalaa leta mrejesho pia
 
Duh ongera vp na kale kautelezi ka rangi ya maziwa kana radha ya chumvi au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…