Asante sana mkuu, Njombe ndio nyumbani nimezaliwa na kukulia huko. Yaani ilikuwa ukitoka nje tuu ya nyumba unaona msitu ule pale.Dah
Ule msitu ulitishia sana enzi hizo
Sasa hivi hauskiki kama zamani, naona yale mauzauza yameisha.
Karibu tena njombe[emoji112]
Mkuu huyo ambae angekula katoto ka miaka 8 lazima angekuwa na matatizo aisee.Huu Uzi nashuka nao mstari Kwa mstari najua tuuh lazima Kuna utamu wa vanilla(kama mtu akuliwa sijui)