Sitasahau nilipoenda na my lovely wangu kupima HIV

Sitasahau nilipoenda na my lovely wangu kupima HIV

ichumu lya

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2016
Posts
2,651
Reaction score
2,790
Kama Kichwa tajwa apo juu tulipoenda kupima HIV nilimshangaa mwenzagu kukosa utulivu nikagundua ali iyo maana katika kuzungumza naye kuna wakati aliniambia akikuta kaathilika anaweza kujidhulu nikastuka pale pale tukiwa tumesubiri majibu nikamuita nurse wakike alokua anapita nikataka anipe namba ya Daktari akaenda muda mfupi akaniletea nikaamua kumtumia SMS iliyosema ivi ''Mpendwa Doctor naitwa flani niko apa kwanje nasubiri majibu lakini tafadhali majibu yakionesha nimeathilika utuambie lakini yakionesha mpenzi wangu kaathilika basi twambie kuwa sote tu wazima Ila mimi nitachukua taadhali mpaka mawazo yake yatakapokuwa sawa."
Dakitari akajibu ''Nitafanya hivyo boss Ila kuwa makini".
Muda ukafika tukaitwa Dakitari akaanza kwa mbwembwe zao mala mwenzangu kaomba maji ya kunywa akapewa Daktari akagundua kwanini nilimtuia Ujumbe ule, akatupongeza nakutupatia majibu sote tukiwa salama.
Gafla My love akapoteza fahamu Dr. Akampa huduma ya kwanza akapelekwa kwanye chumba maalumu kwaajiri ya mapumziko lakini wakati tunatoka kwa Dr. kuna watu wengine walikuwa wasubiri zamu zao kuingia kwa Dr. wakaanza kucheka wakisema tayari kishawaka.
Kwanini nimeandika kisa hiki?
Ninawashangaa wanadamu kuwa wepesi wa kuhukumu wakati nawao hawajitambui maana kama wangekuwa wanajitambua wasingefika kwa ajiri ya kufanya uchunguzi. Aisifiaye mvua......
 
Siti ya mbele kabisa wazoefu wa kupima waje watupe neno, lkn vp alikuwa ameukwaa kweli?
 
mie nahisi ntakuja pima nikiwa nishazidiwa kabisa mambo ya kuishi kwa hofu nani anataka
 
Yaani hao watu waliokua wanasubiri zamu zao kuingia kwa Daktari walikua wanamcheka huyo mpenzi wako huku wakisema "tayari kishawaka'' huku wao hawana uhakika na majibu ya vipimo vyao!!!

Kweli hii dunia ina maajabu,unamcheka mwenzio kabla hata ya wewe hujavuka kwenda uendako?!
 
Lovely? Ndo kitu gani?

Tafuta wa kukubebisha na wewe uitwe hivyo.

BTW: So, kama majibu waliyopewa ni nyote ni wazima, na jamaa alisha instruct kwamba kama My Lovely wake atakuwa amewaka wapewe majibu ya wote ni wazima, na ndiyo waliyopewa!

Hapo inakuwaje?

Ila story ni ya kutunga hii, sioni logic, na maswali yangu ya doubts nabaki nayo.
 
Tafuta wa kukubebisha na wewe uitwe hivyo.

BTW: So, kama majibu waliyopewa ni nyote ni wazima, na jamaa alisha instruct kwamba kama My Lovely wake atakuwa amewaka wapewe majibu ya wote ni wazima, na ndiyo waliyopewa!

Hapo inakuwaje?

Ila story ni ya kutunga hii, sioni logic, na maswali yangu ya doubts nabaki nayo.
Wallah natafuta niitwe my lovely na mimi
 
Back
Top Bottom