Shing Yui
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 15,168
- 38,049
Mwenyezi Mungu awatangulieTulikua tunajipa wakati wa kwenda shule.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyezi Mungu awatangulieTulikua tunajipa wakati wa kwenda shule.
Mkuu nikisa cha kweli mimi nilimwamini Mungu lakini pia nilijua ata kama nitakua nimeathilika ningeishi kwa muda ambao angetaka Mungu. So baada ya miezi mitatu yeye alirudi kujiridhisha akakuta yuko sawa namimi nilienda kwa muda wangu nikakuta niko vizuri alafu baada ya miezi sita tukaenda kituo tofauti Kiukweli tulikuwa wazima tulifanya hivyo maana tulikuwa tunajiandaa kupata mtoto.[emoji774]Tafuta wa kukubebisha na wewe uitwe hivyo.
BTW: So, kama majibu waliyopewa ni nyote ni wazima, na jamaa alisha instruct kwamba kama My Lovely wake atakuwa amewaka wapewe majibu ya wote ni wazima, na ndiyo waliyopewa!
Hapo inakuwaje?
Ila story ni ya kutunga hii, sioni logic, na maswali yangu ya doubts nabaki nayo.
Wallah natafuta niitwe my lovely na mimi
AminaaaaMwenyezi Mungu awatangulie
Simu za kuteleza zinazipendekeza [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] my lovely wangu amezinduka
Mkuu nikisa cha kweli mimi nilimwamini Mungu lakini pia nilijua ata kama nitakua nimeathilika ningeishi kwa muda ambao angetaka Mungu. So baada ya miezi mitatu yeye alirudi kujiridhisha akakuta yuko sawa namimi nilienda kwa muda wangu nikakuta niko vizuri alafu baada ya miezi sita tukaenda kituo tofauti Kiukweli tulikuwa wazima tulifanya hivyo maana tulikuwa tunajiandaa kupata mtoto.[emoji774]
Mwaka 2016 Jan. Inawezekana wewe ndo yule Dr. [emoji12] [emoji12] [emoji12]Let's get to debate:
Ilikuwa mwaka gani?
Nauliza hivyo ili nikuulize maswali mengine kwa sababu modality za upimaji kuna kipindi zilibadilika.
Huo ndo ukweli watu wanatafuta matatizo wao wenyewe,kwanza kupima na kujua unao na mwanzo wa kufa ila kama hujawahi kupima hata kama unao huwezi pata shidamie nahisi ntakuja pima nikiwa nishazidiwa kabisa mambo ya kuishi kwa hofu nani anataka
Mwaka 2016 Jan. Inawezekana wewe ndo yule Dr. [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Tambua inchi hii ni kubwa na kila sehemu wananya kazi kwa njia wanayoona inafaa sasa sijui ukipewa maelekezo wewe utalazimisha mwongozo wa wizara, yapo mambo mengi yanafanyika katika inchi hii unashindwa kujua kama kuna miongozo. Mfano mdogo Rais (JPM) aliagiza mazao chini ya tani moja na nusu yasitozwe kodi au ushuru lakini watendaji wameziba masikio.Mkuu sikuwepo, na nisingependa kukubishia, ila kuna kitu nina concern nacho;-
Kuanzia miaka ya 2011/12 WHO waliagiza vifaa vipya vya upimaji kutumika, hizi ni "SD Bioline HIV 1/2 3.0 and Uni-Gold HIV" kutoka "Determine HIV-1/2 and Genie Fast HIV 1/2".
Sifa moja ya hivyo vipimo vipya ni kutokuwa na muda mrefu wa kusubiri majibu, unapimwa unakaa hapo hapo huku ukipewa ushauri nasaha, ndani ya dakika zisizozidi 4 kitu kinakuwa tayari.
Sasa kwenye story yako umesema process ya kuomba namba na kumtumia SMS Dokta ilikuwa ndani ya kipindi cha kusubiri majibu, utaratibu huo wa kusubiri majibu ulikuwa wa zamani na watu wengi walikuwa wanakimbia. Sasa hivi unabananishwa hapo hapo.
Labda tu kama mlienda hospitali za kawaida na si kwenye vituo rasmi vya kupima ukimwi.
Tambua inchi hii ni kubwa na kila sehemu wananya kazi kwa njia wanayoona inafaa sasa sijui ukipewa maelekezo wewe utalazimisha mwongozo wa wizara, yapo mambo mengi yanafanyika katika inchi hii unashindwa kujua kama kuna miongozo. Mfano mdogo Rais (JPM) aliagiza mazao chini ya tani moja na nusu yasitozwe kodi au ushuru lakini watendaji wameziba masikio.
Alafu pia mimi ni mkulima wa kawaida nisingeweza kupingana na taratibu zilizokuwa katika kituo hicho.
Acha niendelee nakibarua.
Hayo ndo mamboRaha ya kwenda kupima na mpenzi wako au mchuchu wako ni kuanza kwanza ww kupima kujua harafu unakuja kwenda pamoja kupima kwa mbwembwe zote
Hivi vipimo vya dk 5 nilipimwa 2014 april 4Mkuu sikuwepo, na nisingependa kukubishia, ila kuna kitu nina concern nacho;-