Sitasahau nilivyochafua hewa ukumbi wa Mwalimu Nyerere

BICHWA KOMWE -

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2022
Posts
6,373
Reaction score
16,073
Tulikuwa kwenye hafla moja ya kikazi hapo dar, maafsa wote tulialikwa kwenda kushiriki na kutoa hoja za kimijadala.

Nilikula suti yangu kali na moka za kuchongoka, huku kakitambi nacho mashallaaah, na nyuma nalo wowowo limo basi nikawa nanesa tu, Singida dodoma, Singida Dodoma, Weweeee.... Famchezo!

Basi tumeingia tukaanza kujadili na mengineyo, nikaagiza malta na mayai ya mbuni mawili. Niliyabugia kweli kweli, sijui ni ulaku ama ni nini, kwa kweli kwenye chakula nafukia haswa. MNIOMBEE!!

Baada ya nusu saa nikaanza kuona tumbo limebana sana, misuli imekaza hata kukaa nashindwa, nikibehua natoa harufu ya mayai viza, nikasema enheeeee.........

Nilibanwa tumbo ghafla nikahisi kama shuzi linatoka nikalibana, mara nikahisi kama kimba linataka kunibomoa FUTA, nikasema NOO.......nikabinua tako moja kisayansi nikajambAh taratiiibuuuu lakini kwa ujazo wa uhakika......

Hali ya hewa ilichafuka ghafla, watu wakaanza kukunja sura na kufoka kwa jazba, nikasema yesss.........nikabinuka sasa sawia kabisa matakoh yote manuuuu nikajifanya kama naokota kalamu nilibomoa shuzi la hela yote.

Ghafla nikadakwa na mlinzi, alininyanyua juu juu akanifurusha nje sijui alijuaje aisee??

Heshima yote ilishuka, nilikimbia nikaenda gongo la mboto kujificha.
 
Unazidiwa akili na hayawani nguruwe!!

Nguruwe WAKAONA kuliko kukaliwa na mapepo, ni Bora wakajitose baharini wafie huko,

Sasa wewe baada ya kuvamiwa na Hilo Pepo la kuzimu la USHOGA, Badala ya kulikataa, wewe ndio Unadhani ni fashion.

Una muda mchache wa kutubu ,siku ni chache.
 
Dah Kweli JF ina watu bwana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Halafu mtu aseme Tanzania tuna maisha magumu,wakati watu wanafyatua mishuzi ya mbuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…