D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,399
- 3,666
Aisee Mimi ni mkazi wa Arusha siku zote nilijua Arusha ndio Kuna bridi kuliko mikoa mingine Tanzania😂😂😂 Uwiii sintakaa nisahau siku nilimpeleka Mwanangu kureport Form Five Makambako Secondary School ( Government School) eeeeeh 🤔. Tulipanda basi ya Mbeya inapita Makambako, na lazima Bus kupita Mafinga kuelekea makambako aiseee Mafinga is another Europe, sijui niite Mafinga ni Urusi Ndogo Ileee.
Mafinga Ina mashamba ya miti ya Mbao, Kuna Pine Trees🌲 Nzuriii zimesimama kama Ulaayaa🎄 ukute zina barafuuuu utapenda.
Tulipokaribia kuingia Mafinga watu wote kwenye Bus, tulitafuta masweta, vikoi, majackets, makofiaa ya baridi wanaita Mizula 😂😂❤️ tulifunga madirisha ya Ile basi but aaah wapi baridi ilipenya mpk Tumboni, zile Takeaway Juices Haina haja ya fridge Juice niza Baridiii ham ya KUNYWA hakuna, halafu kuna nyesha 🌧️☔😂😂😂 mtu aliposema anashuka vituo vya njiani vya Mafinga mnaogopa Mlango wa Bus ukifunguliwa😱 baridi inaingiaa 💨😂tulipovuka Mafinga kuingia makambako aiseee tulishukuru.
Kimbembe kiliaanza sasa tuliposhuka Makambako aiseee tulivyaa masweta mawili mawaili, jackets, gloves, jeans, skafu shingoni, na kofia za baridi na raba nzito. Mbaya Ile baridi ya Makambako ni baridi inayopulizwa na upepo, yaani ni baridiii yenye upepo 🌬️💨💨Unauliza what's the temperature ya makambako Leo wenyeji wanakwambia 5°C ila jana ilikuwa 7°C. Nyieee Arusha Meru kule Hana Kitu, Moshi Sanyaa Hamna KITU Wala kule Kitengela Hamna Kitu Mafingaaaaa bhana🥶💨💦⛷️🏂.
Sintaisahau tulipiga pasi KITANDA ndipo tulilala ila usingizi hauji maanaa hata kidole TU kikipata Baridi unastika, Maji ya kuoga ya moto ila huhisi baridi kabisaa unaweza ungua ngozi, hiyo chai inababua mdomo, hiyo chips mayai inaepuliwa Jikoni unaipiga na moto moto wake maana hailawii kupoa Acha nyie, hiyo ni Makambako JE Mafinga ikojeeee?
Nyie nilimwacha Mtoto Shule, nikawaambia Ile Shule siku nikitoka huku SIRUDI ng'oooo cha kufia Nini? Na kweli siku Rudi tulihamisha Mtoto Shule ALIKUWA na Pumu 😀🥶.
Ila wenyeji Sasa HAWANA baya wanavijisweta, wengi ni WEUSI, wako busyyy aiseee Nyumba Zote🏠 zimejengwa na matofali ya kuchoma🧱, 😂😉 Nyumba zao 🏠saaa Zote zimefungwa madirishaaa 🪟. What a beautiful Country is Mafingaa? 😉😂😂😂.