Sitasahau siku ambayo Nape Nnauye alipotembea kwa miguu Ikulu kwenda kuomba msamaha

Ujue usimwamini mtu zaidi ya mama yako aliyekuzaa.
Umenikumbusha mama mmoja mchaga,yeye na pombe sana. Mtotoake yupo kazini. Anamjua tabia za mamaake. Kila akimtumia pesa za ujenzi uchagani,mama anaitisha kikao na wenzie ni pombe tu. Mtoto akakata kutuma pesa. Mama akafunga safari kuja kumchongea mwanae afukuzwe kazi. Ikabidi kazini wafanye uchunguzi wa kina sana ili kujua kuna shida gani?. Wakaja kubaini kuna watoto,pamoja na kuwapenda na kuwajali mama zao,ila wanapitia magumu sana kwa mama zao
 
Ilikuwa siku tulivu sana na jana yake tulitumia kugonga moja baridi moja moto mpaka saa saba usiku na tukajiapiza hatutakaa tuombe msamaha kama walivyo fanya akina Makamba Jr na Ngeleja.

Cha kushangaza kesho yake mida ya saa tisa alasiri zikasambaa video zikimuonyesha mh Nape akitembea kwa miguu kwenda Ikulu kuomba msamaha kwa hayati rais Magufuli.!
Hakika hiyo siku nilipigwa ganzi sana.

Alitembelea magoti sio miguu huku kamera zimetegwa kila kona na kwenye miti
 
Ilikuwa siku tulivu sana na jana yake tulitumia kugonga moja baridi moja moto mpaka saa saba usiku na tukajiapiza hatutakaa tuombe msamaha kama walivyo fanya akina Makamba Jr na Ngeleja.

Cha kushangaza kesho yake mida ya saa tisa alasiri zikasambaa video zikimuonyesha mh Nape akitembea kwa miguu kwenda Ikulu kuomba msamaha kwa hayati rais Magufuli.!
Hakika hiyo siku nilipigwa ganzi sana.

Kwa tabia ni mtu mbinafsi oppurtunist. Yeye kwake kusamahewa alikua anajua ni kurudishiwa cheo cha uwaziri. Mama alipomrudishia uwaziri kosa kubwa lake ikawa ni kumkejeri na kumdharau jpm. Hapo unaweza kuona alivyo mwanasiasa mnafiki. Ni mtu asiwe na msimamo wa kisiasa. Kwake siasa ni ajira tu kujaza tumbo lake kubwa.
 
Umesema ukweli mtupu
 
Back
Top Bottom