Sitasahau Siku nimemnunua X wangu kama Pisi kali

Sitasahau Siku nimemnunua X wangu kama Pisi kali

Mlalamikaji daily

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2014
Posts
744
Reaction score
1,621
Aisee wanasema milima haikutani lakini Binadamu wanakutana,

Hiki ni kisa Cha kweli mwaka huu, Nilisafiri kikazi kwenda mkoani Tanga na Kwa kawaida ni sehemu ambayo huwa naenda mara kadhaa kutokana na kazi yangu,

Basi Siku Hiyo nilitoka nikiwa na "ukame" kama wote maana nilikuwa na mgogoro mkubwa na wife na hata Wakati huo sikuwa nilikuwa nimetokea kumpeleka wife kwao kwanza apumzike baada ya kuoana migogoro haiishi kiukweli sikuwa mnunuaji Wa Pisi Toka nizaliwe, basi ikabidi kukaza Moyo, Baada ya kazi nikafika hotelini kwangu na Siku Hiyo nikasema liwalo na liwe nikafika mpaka mapokezi na huku nikiwa serious nikamwambia yule dada
"Samahani dadaangu nahitaji mtu wa kunipa kampani Leo nawe utakunywa soda kidogo" nlisema kwangu Mimi niliona ni ngumu sana jambo Hilo kwakuwa nilikuwa mgeni wa jambo Hilo, Basi yule dada akaniangalia na Bila kukwepesha macho akanichana wazi wazi.

"Kakangu wewe unaonekana Kabisa sio mzoefu , basi Ngoja nikutafutie mtu ambaye mtaendana ila sasa ujipange" alisema akichukua simu yake
"Nijipange kiaje?" Nilisema nikiwa nimepigwa na mshangao..
"Kivyote, Hela na Huko chumbani!" Alisema yule dada
"Sikiliza Sina Hela nyingi kiivyo but naamini sitashindwana nae" nilisema basi alichati nae na Kisha akanipa namba yake,
Nilichukua Kisha nikarudi chumbani,
Nilimpigia na tukapatana Hela 80k kulala ,
Nikaona sio mbaya basi akasema saa 4 anakuja
Nikaona huu ni uboya kutoka na pisi sijaiona sura , lakini nikimwambia Atume picha lazima na Mimi ataomba yangu, basi nikarudi Kwa yule dada mapokezi
"Sikia hebu nionyeshe mpinzani wangu kwanza nijue " nilisema nikitabasamu
"Ah huniamini Broo mi Sina kazi mbovu, nakuambia unaweza kumuacha mkeo" alisema yule dada na kunionyesha picha zake..
"Sikia huyu ni rafiki yangu kabisa na hizi kazi hafanyi sana basi tu nimeona wewe ni mstarabu alisema, moyo wangu ulipiga paap! Baada ya kumuona "jasmine" jina Feki nimetumia, huyu ni binti ambye miaka mitano iliyopita alikuwa mpenzi wangu tukiwa chuo!! Yeye alikua nyuma yangu na Mimi nilipomaliza baada ya miezi kadhaa akawa hapokei Tena simu Zangu! Kama ujuavyo ukitoka chuo harakati zinakuwa nyingi ajira hakuna na Hela hamna kwahiyo nikawa nashindwa kumnunulia hata bando, mwisho akaanza kunipiga vijembe status na hatimaye akaniblock! Baada ya uchunguzi wa hapa na pale nikasikia Kuna lecturer anaponea hapo, nikaona isiwe kesi Nikamove on,
"Vipi mbona mshangao?" Aliuliza yule dada,
"Ah ni Pisi Kali balaa" nilisema huku nikiunganisha nje kwenye sehemu ya chakula,
Mawazo yalikua mengi kama niahirishe mechi au lah maana nilishaapa siwez kutoka nae Tena,
Lakini sehemu nyingine ikaniambia aje nimpe Somo la maisha yaani nimlambe nimpe 80 k asepe zake, basi nikarudi zangu chumbani na kweli saa 4 kasoro nikasikia mlango unagongwa, basi nilishajiandaa na kofia na miwani kubwa nikamfungulia akakaa kwenye sofa,
Nikarudi Kufunga mlango
"Umekula?" Nilimuuliza bila kumuangalia
"Yeah Niko okay" alisema huku akitoa hereni zake na kuweka kwenye meza
"Mhh huyu mzoefu huyu"
Niliwaza.
Akitoa nguo zake Kisha akaingia bafuni Mimi nilikuwa zangu bize na simu yangu alivyorudi akatoa kanga kwenye pochi yake akajifunga akapanda kitandani,
Na Mimi nikashuka nikaenda bafuni nikiwa bafuni huruma ilinijia sana nikajikuta machozi yananitoka..
"Jasmine" ndio wa kujiuza kweli?
Niliwaza , Kisha nikatoka zangu..
"Jasmine!!!" Niliita huku nikijifuta maji..
Alistuka kidgo
"Jasmin almasi, cute dodo" ! Hatimaye nikamuita jina ambalo ni Mimi tu nilipenda kumuita nilistuka ghafla amesimama pale kitandani na kunikumbatia
"Jimmy" jina Feki pia,
Jimmy nisameheeee, ni weweee! Sasa kilio kilianza na Mimi nikajikuta nataka kulia ikabidi nimsukume,
"Sikia, sio poa kulia hebu Kaa tuongee" nilisema sasa nikivaa bukta
"Jimmy wewe sio wa kununua Malaya Jimmy nakujua hujawahi kununua Malaya " aliongea huku akinipiga piga kifuani akilia...
Ilibidi nimshike mikono yake
...
"Jasmine wewe ndio umefikia hatua ya kujiuza kweli?" Nilisema huku nikimkumbatia kumpunguza hasira...
Pamoja na yote jasmine alikuwa pisi kweli ,na katika mazingira Yale ya kanga Moja na kukumbatiana nikaona tayari "nimlete Mzungu" na show ikapigwa huku jasmine akionyesha uwezo wake wote...
Hatimaye hakukuwa na vilio Tena Bali bandika bandua mpaka usingizi..

Asubuhi nilifanya mazoezi yangu kama Kawa nikapiga simu kuletewa double breakfast,
Akaamka tukanywa
Nilijua nikianza story itakuwa sio poa ..
Nikavuta waleti nikamtoa elf 80 yake na kumtakia Kila la kheri katika biashara yake!
MWISHO.
 
IMG_20220817_170639.jpg
 
Inawezekana ikawa chai ama isiwe,

lakin m ninavyo jua kwenye maisha kuna scenerio tuna zipitia ata kwenye bongo movie huzioni, yaan uki hadithia hiv mtu anaona ni chai lakin ndo uhalisia

Maisha wakati fulan yana drama kuliko movie za kihindi
 
Back
Top Bottom