Sitasahau tanuru la moto nililopitishwa na Hayati Magufuli mimi kama mtumishi wa Serikali

Mwenye magufuli alikuwa mwizi kama wezi wengine wa kodi yetu. Hakuwa na tofauti na wezi wengine tofauti ilikuwa ni mwizi aliyejipa kinga!
Tofauti kati yake na wezi wengine kwamba yeye aliiba kishamba sana
 
Naona unachukulia maendeleo ya nchi yanatokana na mishahara minono ya watumishi! UJINGA NI MZIGO, fikra mgando ni janga !
Hayo maendeleo yanawafikiaje wananchi we mjanja mwepesi
 
Kwa nini kuendelea na kazi ambayo uliona haki yako hupewi?? si ungeacha hiyo kazi utafute pale utapewa haki yako unayostahili? jibu unalo kichwani unabaki kulalamikia mtu, lbd km ni mgonjwa wa akili, hata hivyo haki inakwenda na wajibu, wajibu si kwenda kazini kila siku..una wajibu pia wa kuongeza tija ili ulipwe au upandishwe hayo madaraja unavyotaka.
 
Naona umepata nyongeza yako ya 12000 wewe chawa
 
Mwenye magufuli alikuwa mwizi kama wezi wengine wa kodi yetu. Hakuwa na tofauti na wezi wengine tofauti ilikuwa ni mwizi aliyejipa kinga!
Alikua anaiba lakini maendeleo yanaonekana mama ako anaiba wazi wazi afu atuone maendeleo. Viva Hero jiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…