Sitasahau tulivyonunua TV na deki mwaka 1989, hakuna kuigusa na inalala chumbani

TV ilinunuliwa home mwaka 87. Movie ya kwanza kuiona ni Samson na delilah. Mshua likuwa na kazi ya kututafsiria ila uzuri nilikuwa na background ya hiyo story ya Bible. Mtaani walikoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaa, Enzi hizo hakuna bongo movie, taarifa ya habari wala kwaya zakiswahili kudadadeki sasa GODZILLA anadhani miaka ya 80s watu hawakumudu kuwa na TV
 
1989?mkuu wewe ni wa ki sure....
Kwetu tv ilifika 1993.... nilifikishiwa ujumbe na wanafunzi wenzangu na nikatoroka shule[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…