Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Kwa kutumia tu akili ya kawaida, ni wazi kuahirishwa kwa hii, mechi sio jambo lililozuka tu, bali kuna uwezekano mkubwa lilikuwa ni tukio la kupangwa na ndio maana Simba wakagoma kisha baadae Bodi ya Ligi nao wakaja na uamuzi wa kuahirisha mechi(mpango mkakati).
Kwa msingi huo, FIFA au CAS watahitaji kuchunguza kwanza ili waweze kutoa uamuzi na hii ni kwasababu Bodi ya Ligi teyari imejiingiza katika huu mgogoro, vinginevyo lilikuwa ni jambo rahisi tu la kuangalia kanuni zinasemaje na kutoa uamuzi.
Maamuizi ya Bodi kuahirisha hii mechi sio tu yatafanya iwe ni vigumu kwa FIFA au CAS kutoa uamuzi, bali watahitaji kujua ni kwanini Bodi ya Ligi walifanya blunder kama ile.
Wanaostahili kuchunguzwa/kuhojiwaa
1.Uongozi wa Club ya Simba
2, Viongozi wa Bodi ya Ligi
3. Meneja wa uwanja
4. Walinzi wanaodaiwa kuwazuia Simba kuingia uwanjani
5.Viongozi wa club ya Yanga(watahojiwa kama mashahidi).
Adhabu inaweza kwenda kwa Simba pamoja na Bodi ya Ligi.
Nimemaliza.