Sitashangaa kumsikia Mbowe akisema, baada ya kumsikiliza Lema, nimetafakari na kuamua kujitoa kugombea uenyekiti wa CHADEMA

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Habari Wakuu!

Kama kichwa cha habari kinavyosema, hicho ndio kitu kinachoweza kutokea wakati wowote kuanzia sasa, ila uwezekano ni kujitoa dakika za jioni.

Ataongea mengi na atakuja na ngonjera za kuwa pia kuna watu wengine maarufu ambao nao wamemtaka apumzike halafu atamalizia na hotuba ya Lema kuwa ndio hasa imemfanya aamua kutogombea.

Soma Pia: Lema: Nikigundua kwamba Kumuunga mkono Lissu imewakwaza nitakuwa mwanaharakati huru na sitaweza kuwa mwana CCM

Pia, msishangae kusikia mmoja wa viongozi wa dini maarufu nae akajitokeza na kuja na hoja za kumtaka Mbowe ajiuzulu na hivi ndivyo ambavyo Mbowe atakuwa ameokolewa na watu wake wa karibu asiadhirike kwenye sanduku la kura.

Hili lisipotekea, Plan B itakuwa ni kuvuruga uchaguzi kwa fujo za kutengeneza siku ya uchaguzi.

Defender za kusambaratisha watu nazo ha hazitakuwa mbali zikisubiri muda ufike.
 
Ataongea mengi na atakuja na ngonjera za kuwa pia kuna watu wengine maarufu ambao nao wamemtaka apumzike halafu atamalizia na hotuba ya Lema kuwa ndio hasa imemfanya aamua kutogombea..

Pia, msishangae kusikia mmoja wa viongozi wa dini maarufu nae akajitokeza na kuja na hoja za kumtaka Mbowe ajiuzulu na hivi ndivyo ambavyo Mbowe atakuwa ameokolewa na watu wake wa karibu asiadhirike kwenye sanduku la kura.

Hili lisipotekea, Plan B itakuwa ni kuvuruga uchaguzi kwa fujo za kutengeneza siku ya uchaguzi.
Bado anakilinda chama kwa wivu mkubwa
 
Benson Kigaila na Salim Mwalimu manaibu katibu wakuu bara na Zanzibar wake zao ni wabunge wa covid 19, na hawa wanatayarisha utetezi wa mahakamani.
Hawa wanakaa kwenye sekretariet ya chama wakimzunguka Mbowe.

Sherehe ya kuukaribisha mwaka mpya mwenyekiti aliwakaribisha Halima Mdee na Easter Bulaya nyumbani kwake lakini alikataa kuonana na Msigwa.

Alisema hao wengine naweza kuonana nao lakini Msigwa sitaki hata kumuona.

Uchaguzi wa kanda ya Nyasa ulivurugwa, Msigwa alifanyiwa uhuni.
Kumbe uchaguzi ulivurugwa mwenyekiti akihusika ili ambebe Sugu.

Lissu, Msigwa, Lema, Heche walitakiwa wafukuzwe tena kwa baraka za mwenyekiti ili wake za manaibu katibu wakuu pamoja na covid 19 warudi CHADEMA.

Hakuna ubishi Mbowe amecompromise chama, tujiulize kwa maslahi ya nani?

CCM NA SAMIA OF COURSE. Na ndio maana makada wa CCM wote wanampigia debe.
MBOWE MUST GO
 
Inasikitisha sana yeye kuiuza Chadema. Sijui alifanya kitu gani hicho ambacho wamekitumia kumbana nacho mpaka kafanya mistake hii ya maisha yake! Hii ni aibu sana kwake. Hawa watu wanaomlalamikia ni watu wenye kuaminika sana kwenye jamii, hakuna wanachodanganya. Na hakuna karata itayotumika yoyote kuepusha hoja zao na waTanzania wakasahau haya. Sasa Chadema ikibaki ya hovyo, Mbowe ataacha legacy gani?!
 
Mbowe hakutaka kuachia kiti, na bado ni mzito moyoni mwake, Chadema ni chama ambacho kwa miaka mingi wamehubiri sana kuhusu uchaguzi wa huru na haki, uongozi wa sheria,siasa safi, demokrasia n.k akiongoza Mbowe katika kutoa ujumbe kwa waTanzania.

Sasa leo hii Mbowe hawezi kurudisha matapishi yake mwenyewe.. inabidi atekeleze kwa vitendo na aonyeshe mfano, huo uchaguzi wa huru na haki, siasa safi pasipo uadui, demokrasia na yote mazuri aliyozungumza kuhusu suala zima la siasa toka anaanzisha chama.

Na hapo ndipo ki aibu flani kinamjia na kuona hakuna njia nyingine bali kukubali ushindani.

Japo nikiri, kuongea ni rahisi, shughuli ni kutenda, nahisi Mh Mbowe ameona ni ngumu kiasi gani hata kwa chama kikongwe kukubali ushindani kirahisi.

Lakini hakuna namna, mwendo umeumaliza kamanda, waachie na wengine, japo ni wazi kuchukua madaraka kwa hii nchi labda Yesu arudi.
 
Uzuri Mbowe nae alishasema uchaguzi utakuwa huru na haki, tena live kabisa. Hiki ndicho kitu kizuri kidemokrasia kuliko wote wanaotaka Mbowe amuachie Lissu tu.

Uchaguzi upigwe kwa haki mshindi apatikane ndiyo siasa safi, uongozi wa kisiasa huachiwi tu kama uchifu.

Binafsi nampongeza Mbowe na zaidi sana mikakati ya chadema. Wameifanya nchi imechangamka sana.
 
Ni vizuri kwa sababu ni mfano wanaonyesha...
Suala la uchaguzi ni kitu kizuri.
Wanachadema wanapaza sauti kumtaka Mbowe asitumie cheo chake, mali zake na nafasi aliyopo kuhujumu uchaguzi ndivyo nimeelewa, kwa maana bado wadau wengi wanaamini Mbowe ndiye kashikilia mpini.

wanachadema bado wanaamini licha ya kumtaka Mbowe amuachie Lissu pindi uchaguzi ukifanyika na akashindwa lakini bado watamhitaji chamani kama mshauri, kama mwanasiasa mkomavu na mwanachama mwenzao.

WanaCHadema wanajitahidi kumuonyesha Mbowe siasa si uadui, wana uhuru wa kutoa maoni, na hawamchukii....
 
Habari Wakuu!

Kama kichwa cha habari kinavyosema, hicho ndio kitu kinachoweza kutokea wakati wowote kuanzia sasa, ila uwezekano ni kujitoa dakika za jioni.

Ataongea mengi na atakuja na ngonjera za kuwa pia kuna watu wengine maarufu ambao nao wamemtaka apumzike halafu atamalizia na hotuba ya Lema kuwa ndio hasa imemfanya aamua kutogombea.

Soma Pia: Lema: Nikigundua kwamba Kumuunga mkono Lissu imewakwaza nitakuwa mwanaharakati huru na sitaweza kuwa mwana CCM

Pia, msishangae kusikia mmoja wa viongozi wa dini maarufu nae akajitokeza na kuja na hoja za kumtaka Mbowe ajiuzulu na hivi ndivyo ambavyo Mbowe atakuwa ameokolewa na watu wake wa karibu asiadhirike kwenye sanduku la kura.

Hili lisipotekea, Plan B itakuwa ni kuvuruga uchaguzi kwa fujo za kutengeneza siku ya uchaguzi.

Defender za kusambaratisha watu nazo ha hazitakuwa mbali zikisubiri muda ufike.
Mkuu yetu macho!!! 🤓🤓🤓
 
Kwa maslahi mapana ya Taifa, Lissu atawekwa kikaangoni asigombee
 
Habari Wakuu!

Kama kichwa cha habari kinavyosema, hicho ndio kitu kinachoweza kutokea wakati wowote kuanzia sasa, ila uwezekano ni kujitoa dakika za jioni.

Ataongea mengi na atakuja na ngonjera za kuwa pia kuna watu wengine maarufu ambao nao wamemtaka apumzike halafu atamalizia na hotuba ya Lema kuwa ndio hasa imemfanya aamua kutogombea.

Soma Pia: Lema: Nikigundua kwamba Kumuunga mkono Lissu imewakwaza nitakuwa mwanaharakati huru na sitaweza kuwa mwana CCM

Pia, msishangae kusikia mmoja wa viongozi wa dini maarufu nae akajitokeza na kuja na hoja za kumtaka Mbowe ajiuzulu na hivi ndivyo ambavyo Mbowe atakuwa ameokolewa na watu wake wa karibu asiadhirike kwenye sanduku la kura.

Hili lisipotekea, Plan B itakuwa ni kuvuruga uchaguzi kwa fujo za kutengeneza siku ya uchaguzi.

Defender za kusambaratisha watu nazo ha hazitakuwa mbali zikisubiri muda ufike.
Lema ni darasa la saba atamsikiliza mjinga kama yeye
 
Back
Top Bottom