Sitashangaa kumsikia Mbowe akisema, baada ya kumsikiliza Lema, nimetafakari na kuamua kujitoa kugombea uenyekiti wa CHADEMA

Habari Wakuu!

Kama kichwa cha habari kinavyosema, hicho ndio kitu kinachoweza kutokea wakati wowote kuanzia sasa, ila uwezekano ni kujitoa dakika za jioni.

Ataongea mengi na atakuja na ngonjera za kuwa pia kuna watu wengine maarufu ambao nao wamemtaka apumzike halafu atamalizia na hotuba ya Lema kuwa ndio hasa imemfanya aamua kutogombea.

Soma Pia: Lema: Nikigundua kwamba Kumuunga mkono Lissu imewakwaza nitakuwa mwanaharakati huru na sitaweza kuwa mwana CCM

Pia, msishangae kusikia mmoja wa viongozi wa dini maarufu nae akajitokeza na kuja na hoja za kumtaka Mbowe ajiuzulu na hivi ndivyo ambavyo Mbowe atakuwa ameokolewa na watu wake wa karibu asiadhirike kwenye sanduku la kura.

Hili lisipotekea, Plan B itakuwa ni kuvuruga uchaguzi kwa fujo za kutengeneza siku ya uchaguzi.

Defender za kusambaratisha watu nazo ha hazitakuwa mbali zikisubiri muda ufike.
Bado anavuta hela kutoka kuleeee. Kumbuka Aikael ni Mchaga; ataporomoka huku kashika Fuko la pesa
 
Habari Wakuu!

Kama kichwa cha habari kinavyosema, hicho ndio kitu kinachoweza kutokea wakati wowote kuanzia sasa, ila uwezekano ni kujitoa dakika za jioni.

Ataongea mengi na atakuja na ngonjera za kuwa pia kuna watu wengine maarufu ambao nao wamemtaka apumzike halafu atamalizia na hotuba ya Lema kuwa ndio hasa imemfanya aamua kutogombea.

Soma Pia: Lema: Nikigundua kwamba Kumuunga mkono Lissu imewakwaza nitakuwa mwanaharakati huru na sitaweza kuwa mwana CCM

Pia, msishangae kusikia mmoja wa viongozi wa dini maarufu nae akajitokeza na kuja na hoja za kumtaka Mbowe ajiuzulu na hivi ndivyo ambavyo Mbowe atakuwa ameokolewa na watu wake wa karibu asiadhirike kwenye sanduku la kura.

Hili lisipotekea, Plan B itakuwa ni kuvuruga uchaguzi kwa fujo za kutengeneza siku ya uchaguzi.

Defender za kusambaratisha watu nazo ha hazitakuwa mbali zikisubiri muda ufike.
Lema kamakiza kila kila kitu, sidhani kama Mbowe na timu yae wanaweza kujibu au kujitetea
 
Mungu ana kawaida ya kuwadhalilisha watu wanafiki kabla ya kuwaangusha.......
 
Back
Top Bottom