Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Moja ya mbinu ya CCM ni kutumia propaganda kuharibu mipango ya CHADEMA na hata kwenye maandamano wamekuwa na hiyo tabia lengo ni kuhakikisha maandamano hayafanikiwi..
Kwa msingi huo, hata hawa Polisi tunaoambiwa wamesambaa maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es salaam, huenda lengo kuu ni kutisha tu watu wasijitokeze kwenye maandamano na si kuingilia maandamano.
Hivyo, msishangae kuona Polisi wanasindikiza waandamanaji hiyo Jumatatu ya tarehe 23/09/2024.
Nimemaliza.
Pia soma: Freeman Mbowe: Tutaandamana kudai watu waliopotea