Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Mzee Mbowe na genge lake (Viongozi) kesho wasiruhusiwe kutoka nje ya uzio wa nyumba zao ili kuhakikish usalama wa nchiMoja ya mbinu ya CCM ni kutumia propaganda kuharibu mipango ya CHADEMA na hata kwenye maandamano wamekuwa na hiyo tabia lengo ni kuhakikisha maandamano hayafanikiwi..
Kwa msingi huo, hata hawa Polisi tunaoambiwa wamesambaa maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es salaam, huenda lengo kuu ni kutisha tu watu wasijitokeze kwenye maandamano na si kuingilia maandamano.
Hivyo, msishangae kuona Polisi wanasindikiza waandamanaji hiyo Jumatatu ya tarehe 23/09/2024.
Nimemaliza.
Bado hamjasema.Mzee Mbowe na genge lake (Viongozi) kesho wasiruhusiwe kutoka nje ya uzio wa nyumba zao ili kuhakikish usalama wa nchi
macho ya Dunia yapo bongo!??Ndivyo ilivyo,
Macho ya Dunia yapo TANZANIA,
Si Rahisi kubughudhi waandamanaji.
Tuone kama watapumua haswa pale watakapoanza kuleta fujoNimeona taarifa Baraza la wanawake Chadema (Bawacha) wanasema watahudhuria maandamano. Hawa ni muhimu sana.
Kweli kabisa wanawake ni muhimu sana kwenye maandamano, hivi kweli polisi watathubutu kuwapiga virungu akina mama?Nimeona taarifa Baraza la wanawake Chadema (Bawacha) wanasema watahudhuria maandamano. Hawa ni muhimu sana.
Kwanini walete fujo? Haya ni maandamano ya Amani, hakuna haja ya kuleta fujo.Tuone kama watapumua haswa pale watakapoanza kuleta fujo
Mmm usiwadanganye wenziohawa jamaa wamepania kwanza mpaka ikifika hiyo jumatatu POLISI wengi watakuwa wamechoka na mtu akichoka huwa anachukua maamuzi mabovu sana. Mimi ni mshauri Mbowe aitishe kikao cha Dharula kesho Airishe Maandamano, waweke nguvu mahakamani kwenye kesi ya Bonifasi JakoboMoja ya mbinu ya CCM ni kutumia propaganda kuharibu mipango ya CHADEMA na hata kwenye maandamano wamekuwa na hiyo tabia lengo ni kuhakikisha maandamano hayafanikiwi..
Kwa msingi huo, hata hawa Polisi tunaoambiwa wamesambaa maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es salaam, huenda lengo kuu ni kutisha tu watu wasijitokeze kwenye maandamano na si kuingilia maandamano.
Hivyo, msishangae kuona Polisi wanasindikiza waandamanaji hiyo Jumatatu ya tarehe 23/09/2024.
Nimemaliza.
Ushauri wako ni sawa na nguvu za giza.Mmm usiwadanganye wenziohawa jamaa wamepania kwanza mpaka ikifika hiyo jumatatu POLISI wengi watakuwa wamechoka na mtu akichoka huwa anachukua maamuzi mabovu sana. Mimi ni mshauri Mbowe aitishe kikao cha Dharula kesho Airishe Maandamano, waweke nguvu mahakamani kwenye kesi ya Bonifasi Jakobo
hekima inaelekeza wafanye hivyo, wawasindikize tu hadi mwisho basi. wala hakuna atakayeleta fujo mtaani.Moja ya mbinu ya CCM ni kutumia propaganda kuharibu mipango ya CHADEMA na hata kwenye maandamano wamekuwa na hiyo tabia lengo ni kuhakikisha maandamano hayafanikiwi..
Kwa msingi huo, hata hawa Polisi tunaoambiwa wamesambaa maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es salaam, huenda lengo kuu ni kutisha tu watu wasijitokeze kwenye maandamano na si kuingilia maandamano.
Hivyo, msishangae kuona Polisi wanasindikiza waandamanaji hiyo Jumatatu ya tarehe 23/09/2024.
Nimemaliza.
afadhali wameongezapo kamzunguko ka pesa hapa bongo, manake si watakaa guest house, au watalala barabarani, na wataungisha migahawa pia.Hapo kuna kitu national kwa mbali hivi hawa askari wote hawa wameacha familia zao na kuja kufanya Doria huku Dar!, Je, wamelipwa? Kama majibu ni hapana basi hizo hasira zao kuna mahali watazimalizia.
Ngoma draw watakutana na walala hoi wenzao na patachimbika kila mmoja akiwaza alivyo lost lostika.